-
Zarif: Timu B ilijaribu kumtia mtegoni Trump aingie katika vita na Iran
Jun 23, 2019 23:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema tukio la hivi karibuni la drone ya Marekani kukiuka anga ya Iran katika Bahari ya Oman ilikuwa sehemu ya njama pana za wapenda vita (Timu B) kumtia mtegoni Rais Donald Trump wa Marekani ili aingie katika vita na Iran.
-
Sanders: Trump amelazimika kuzima moto aliouwasha dhidi ya Iran
Jun 23, 2019 22:30Seneta Bernie Sanders ambaye ametangaza azma yake ya kugombea tena urais katika uchaguzi wa urais nchini Marekani mwaka ujao amesema Rais Donald Trump wa nchi hiyo amelazimika kuzima moto wa mgogoro na taharuki aliouwasha mwenyewe dhidi ya Iran.
-
Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-21
Jun 23, 2019 13:53Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 21 ya kipindi hiki cha Katika Maktaba ya Imam Khomein (MA) ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-19
Jun 23, 2019 13:41Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 19 ya kipindi hiki cha Katika Maktaba ya Imam Khomein (MA) ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-18
Jun 23, 2019 13:33Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 18 ya kipindi hiki cha Katika Maktaba ya Imam Khomein (MA) ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-17
Jun 23, 2019 13:22Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 17 ya kipindi hiki cha Katika Maktaba ya Imam Khomein (MA) ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa kutimia miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-20
Jun 23, 2019 13:12Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 20 ya kipindi hiki cha Katika Maktaba ya Imam Khomein (MA) ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-16
Jun 23, 2019 12:58Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 16 ya kipindi hiki cha Katika Maktaba ya Imam Khomein (MA) ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-15
Jun 23, 2019 12:51Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 15 ya kipindi hiki cha Katika Maktaba ya Imam Khomein (MA) ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran. Katika kipindi kilichopita tulizungumzia suala la umuhimu wa uhuru ndani ya nchi inayozingatia misingi ya demokrasia. Tukasema kuwa suala hilo lilipewa umuhimu mkubwa na Imam Khomeini (MA).
-
Pentagon: Marekani haitaki kuingia vitani na Iran
Jun 22, 2019 23:01Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imesema kuwa, nchi hiyo haina nia ya kuingia vitani na Iran, lakini imedai kwamba italinda maslahi yake katika eneo.