-
Jumatatu, 6 Machi, 2017
Mar 06, 2017 05:58Leo ni Jumatatu, tarehe 7 Jamadithani 1438 Hijria sawa na 6 Machi, 2017
-
Ulimwengu wa Michezo, Machi 6, 2017
Mar 06, 2017 03:33Ufuatao ni mkusanyiko wa matukio kadhaa muhimu ya michezi yaliyojiri katika muda wa siku saba zilizopita, ndani na nje ya nchi.......
-
Zarif: Saudi Arabia ingali inavuruga uthabiti Mashariki ya Kati
Mar 06, 2017 00:54Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran Mohammad Javad Zarif amesema Saudi Arabia haijabadilisha sera zake za uhasama na ingali inavuruga uthabiti wa Mashariki ya Kati.
-
Rouhani: Uhusiano wa Iran na Azerbaijan unastawi na ni wa kistratijia
Mar 05, 2017 13:04Rais Hassan Rouhani amesema uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Azerbaijan ni wa kiudugu na wa kistratijia na kuongeza kuwa kupiga hatua uhusiano wa baina ya pande mbili za Tehran na Baku kwa upande wa mawasiliano wa kisiasa, wa masuala ya kieneo, kimataifa na kiutamaduni ni wenye umuhimu.
-
Jeshi la Iran laufanyia majaribio yenye mafanikio mfumo wa makombora wa S-300
Mar 04, 2017 13:01Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limeufanyia majaribio mfumo wa makombora wa S 300 wa Iran kwa operesheni iliyofanikiwa katika jangwa la katikati mwa nchi.
-
Hoteli ya Abbasi Isfahan Iran, maridadi zaidi Mashariki ya Kati
Mar 03, 2017 23:52Hoteli ya Abbasi mjini Isfahan nchini Iran imetangazwa kuwa, hoteli maridadi zaidi Mashariki ya Kati.
-
Saudia yakubali masharti ya Iran kuhusu ibada ya Hijja
Mar 03, 2017 04:42Saudi Arabia imekubali mapendekezo yalitolewa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa ajili ya kulindwa mahujaji wa taifa hili katika ibada ya Hijja.
-
Iran na Zimbabwe kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi
Mar 03, 2017 04:38Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Zimbabwe zimesisitiza juu ya kuimarisha ushirikiano wa pande mbili katika uga wa uchumi.
-
Ijumaa, 3 Machi 2017
Mar 03, 2017 00:50Leo ni Ijumaa tarehe 4 Jamadithani 1438 Hijria sawa na Machi 3, 2017.
-
Marais Rouhani na Erdogan wazungumzia uhusiano wa Iran na Uturuki
Mar 01, 2017 12:04Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki wamekutana na kufanya mazungumzo kuhusu masuala mbali mbali likiwemo la umuhimu wa kuimarisha uhusiano wa pande mbili.