Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran yataka suala la haki za binadamu lisitumiwe kisiasa

    Iran yataka suala la haki za binadamu lisitumiwe kisiasa

    Mar 01, 2017 03:48

    Sayyid Abbas Araqchi, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika masuala ya sheria na ya kimataifa alisema jana kwenye kikao cha Baraza la Haki za binadamu la Umoja wa Mataifa mjini Geneva Uswisi kwamba, ni jambo la dharura kwa suala la haki za binadamu kuepushwa kikamilifu na masuala ya kisiasa.

  • Jeshi la Majini la Iran lafanyia majaribio kombora la topedo

    Jeshi la Majini la Iran lafanyia majaribio kombora la topedo

    Feb 28, 2017 12:43

    Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo limefanyia majaribio yaliyofana kombora aina ya topedo katika siku ya mwisho ya mazoezi makubwa ya kijeshi katika maji ya kitaifa na kimataifa.

  • Rouhani: Iran inakaribisha kuimarisha uhusiano wake na Indonesia

    Rouhani: Iran inakaribisha kuimarisha uhusiano wake na Indonesia

    Feb 28, 2017 03:46

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran inaunga mkono kikamilifu suala la kuimarisha ushirikiano wake na Indonesia katika nyuga mbalimbali kama vile uchumi, siasa na masuala ya sayansi.

  • Kunufaika Magharibi kwa kujitolea mhanga Iran katika vita dhidi ya madawa ya kulevya

    Kunufaika Magharibi kwa kujitolea mhanga Iran katika vita dhidi ya madawa ya kulevya

    Feb 28, 2017 03:46

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Magharibi inapaswa ikubali kuwajibika na kugharamika zaidi kutokana na usalama inaopata kutokana na vita vinavyoendeshwa na Iran dhidi ya magendo ya madawa ya kulevya.

  • Rahmani Fazli: Vita dhidi ya mihadarati vinahitajia ushirikiano wa kieneo na kimataifa

    Rahmani Fazli: Vita dhidi ya mihadarati vinahitajia ushirikiano wa kieneo na kimataifa

    Feb 27, 2017 11:06

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran amesema kuwa mapambano dhidi ya madawa ya kulevya yanahitajia ushirikiano wa kieneo na kimataifa.

  • Iran yarusha kwa mafanikio kombora jipya zaidi la baharini la Cruz

    Iran yarusha kwa mafanikio kombora jipya zaidi la baharini la Cruz

    Feb 27, 2017 10:45

    Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema kuwa kombora jipya zaidi la baharini la Iran kwa jina la "Nassir" limefanyiwa majaribio kwa mafanikio katika maneva ya jeshi la wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Mkutano wa kimataifa wa kupambana na madawa ya kulevya waanza mjini Tehran

    Mkutano wa kimataifa wa kupambana na madawa ya kulevya waanza mjini Tehran

    Feb 27, 2017 04:16

    Mkutano wa kimataifa wa kupambana na madawa ya kulevya umeanza kufanyika hapa mjini Tehran kwa kuhudhuriwa na shakhsia mbalimbali wa ndani na wa kimataifa.

  • Ayatullah Javadi Amoli: Marekani itasambaratika kama ulivyosambaratika Umoja wa Kisovieti

    Ayatullah Javadi Amoli: Marekani itasambaratika kama ulivyosambaratika Umoja wa Kisovieti

    Feb 27, 2017 04:13

    Ayatullah Abdullah Javadi Amoli, mwanazuoni mkubwa na Marjaa Taqlidi wa mjini Qum Iran amesema kuwa, Marekani itasambaratika kama ulivyosambaratika Umoja wa Kisovieti.

  • Ulimwengu wa Spoti, Februari 27

    Ulimwengu wa Spoti, Februari 27

    Feb 27, 2017 03:53

    Tutakupasha kuhusu fainali ya Kombe la Roll Ball; Kisa cha Simba kummeza Yanga; Na Man U yatwaa Kombe la EPL na kuwa klabu yenye ufanisi zaidi Uingereza, mahala pale Liverpool.......

  • Filamu ya Forushande yashinda tuzo ya Oscar

    Filamu ya Forushande yashinda tuzo ya Oscar

    Feb 27, 2017 01:19

    Filamu ya Forushande (The Salesman) iliyotengenezwa na Asghar Farhadi imeshinda tuzo ya Oscar katika kitengo cha filamu za kigeni kwenye Academia ya Filamu ya Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS