-
Iran yalaani hujuma ya kigaidi dhidi ya ubalozi wa Ujerumani
Nov 12, 2016 04:49Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali shambulizi la kigaidi lililolenga ubalozi mdogo wa Ujerumani nchini Afghanistan.
-
Zarif amuonya Trump asithubutu kukiuka mapatano ya nyuklia ya Iran
Nov 12, 2016 01:13Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran Mohammad Javad Zarif ameonya kuwa iwapo rais mteule wa Marekani atakiuka mapatano ya nyuklia, basi Iran ina machaguo mengine ya kukabiliana na hali hiyo.
-
Ayatullah Khatami amtahadharisha Rais mteule wa Marekani kuhusu siasa za vitisho
Nov 11, 2016 12:21Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo katika mji wa Tehran amesema kuwa taifa la Iran halitaiamini serikali yoyote inayoingia madarakani huko Marekani.
-
IAEA yasisitizia, Iran imeheshimu makubaliano ya JCPOA
Nov 10, 2016 04:27Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) umesisitiza tena katika ripoti yake mpya kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetekeleza na kuheshimu makubaliano ya nyuklia maarufu kama JCPOA kwa kifupi.
-
Iran yaikosoa Saudia kwa kuvunjia heshima matukufu ya Kiislamu
Nov 09, 2016 04:31Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema mwenendo wa utawala wa Saudi Arabia kuyavunjia heshima matukufu ya Kiislamu kwa maslahi yake ya kisiasa ni hatari na utakaowatumbukia nyongo karibuni hivi.
-
Zarif: Muqawama umesambaratisha njama za magaidi Lebanon
Nov 08, 2016 04:00Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema harakati za kimuqawama ndizo zimesambaratisha njama za maadui na magaidi nchini Lebanon.
-
Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Togo Tehran; ulazima wa kulijali bara la Afrika
Nov 07, 2016 08:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Togo Robert Dussey jana Jumapili alikutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Muhammad Javad Zarif hapa mjini Tehran.
-
Ulimwengu wa Michezo, Nov 7
Nov 07, 2016 04:28Mkusanyiko wa matukio kem kem ya spoti yalitoawala anga mbali mbali ndani ya siku saba zilizopita......................
-
Iran yalaani mashambulizi ya kigaidi Samarra na Tikrit Iraq
Nov 07, 2016 00:47Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani mashambulizi ya kigaidi yaliyopelekea watu wasiopungua 21 kuuawa katika miji ya Samarra na Tikrit nchini Iraq jana Jumapili.
-
Sisitizo la udharura wa kuweko umoja kati ya Waislamu
Nov 07, 2016 00:47Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahul Bayt AS amesistiza kuhusu udharura wa kuimarishwa umoja wa Waislamu duniani.