-
Iran yalaani mauaji ya Waislamu siku ya Ashura Nigeria, Afghanistan
Oct 13, 2016 01:10Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali mauaji ya Waislamu wa madhehebu ya Shia waliokuwa wamejumuika kwa ajili ya maombolezo ya Ashura, katika miji ya Kaduna na Funtua nchini Nigeria hapo jana.
-
Iran kuwatibu waliojeruhiwa katika hujuma ya kinyama ya Saudia nchini Yemen
Oct 11, 2016 23:58Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema iko tayari kuwapokea na kuwatibu waliojeruhiwa hivi karibuni katika hujuma ya kikatili ya ndege za kivita za Saudia dhidi ya watu waliokuwa wamekusanyika katika mazishi nchini Yemen.
-
Rais Rouhani: Hali ya Yemen ni ya kusikitisha
Oct 11, 2016 04:33Rais Hassan Rouhani amesema hali ya Yemen ni ya kusikitisha na amekosoa mashambulio ya kinyama yanayoendelea kufanywa na Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo masikini ya Kiarabu.
-
Larijani atuma ujumbe akilaani jinai za Saudia huko Sana'a Yemen
Oct 09, 2016 23:15Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amemtumia ujumbe Spika wa bunge la Yemen kufuatia kuuliwa mamia ya raia wa Yemen katika mashambulizi yaliyofanywa na ndege za kivita za Saudi Arabia mjini Sana'a na kutoa mkono wa pole kwa familia za wahanga na Spika wa bunge la nchi hiyo.
-
Iran na Thailand kuimarisha uhusiano wa pande zote
Oct 09, 2016 10:29Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, nchi mbili za Iran na Thailand zina nia ya kweli ya kuimarisha uhusiano wao katika nyuga za kisiasa, kiuchumi, kiutamaduni na kielimu.
-
Iran iko Mstari wa Mbele Kukabiliana na Dawa za Kulevya
Oct 09, 2016 04:38Ghulam Hussein Dehqani, Balozi na Naibu Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa siku ya Ijumaa katika kikao cha Kamati ya Tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu dawa za kulevya alisema, zaidi ya asilimia 80 ya ufyuni na zaidi ya asilimia 40 ya heroini inayokamatwa kutoka kwa walanguzi duniani hukampatwa na vikosi vya usalama vya Iran.
-
Iran yakosoa waraka wa Bunge la Umoja wa Ulaya
Oct 08, 2016 04:45Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekosoa waraka ambao utachunguzwa na Bunge la Umoja wa Ulaya kuhusu mustakabali wa uhusiano wa umoja huo na Iran.
-
Rais Rouhani: Ulimwengu wa Kiislamu utakombolewa kwa misimamo ya wastani
Oct 08, 2016 03:36Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Ulimwengu wa Kiislamu utakombolewa tu kwa misimamo ya wastani na kupambana na utumiaji mabavu.
-
Safari ya Rais Rouhani Kuala Lumpur; upeo mpya katika uhusiano wa Iran na Malaysia
Oct 07, 2016 12:29Rais Hassan Rouhani leo asubuhi aliwasili Kuala Lumpur, mji mkuu wa Malaysia akiendelea na safari yake ya kuzitembelea nchi za eneo la kusini mashariki mwa Asia.
-
Meja Jenarali Jafari: Taifa la Iran litamdhibiti kila atakayejaribu kulichokoza
Oct 07, 2016 00:56Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH), Muhammad Ali Jafari amesema kuwa, taifa la Iran limejiweka tayari kwa ajili ya kutoa jibu kali na kumdhibiti adui yoyote yule.