-
Muqawama wa Iraq wafanya mashambulio ya ndege zisizo na rubani katika vituo vya Kijeshi vya utawala wa Kizayuni
Oct 21, 2024 04:15Katika taarifa, Muqawama wa Kiislamu wa Iraq umetangaza kufanya mashambulio ya ndege zisizo na rubani katika maeneo ya utawala wa Kizayuni katika milima ya Golan ya Syria inayokaliwa kwa mabavu na Israel.
-
Kwa silaha na uwezeshaji wa US, Israel imedhamiria kuwahamisha Wapalestina wote wa Ghaza
Oct 20, 2024 03:13Hassan Mneimneh, mchambuzi wa kisiasa wa Taasisi ya Mashariki ya Kati, ameiambia Al Jazeera kwamba ukatili unyama na unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza umewezeshwa na Marekani na usambazaji wake wa silaha kwa ajili ya kuendesha vita katika eneo hilo la Palestina.
-
Vijana wa Iraq wachoma moto ofisi ya kituo cha MBC cha Saudi Arabia
Oct 19, 2024 04:17Vijana wa Iraq waliokuwa na hasira wamechoma moto ofisi ya MBC ya Saudi Arabia mjini Baghdad baada ya kituo hicho cha televisheni kuwatusi makamanda wa muqawama waliouawa shahidi kuwa ni magaidi.
-
Muendelezo wa mashambulizi ya ndege zisizo na rubani za muqawama wa Kiislamu wa Iraq dhidi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel)
Oct 10, 2024 02:05Muqawama wa Kiislamu wa Iraq kwa mara nyingine tena umelenga na kushambulia moja ya maeneo muhimu kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel) kwa ndege isiyo na rubani.
-
Mashambulizi ya ndege zisizo na rubani za muqawama wa Iraq dhidi ya utawala wa Kizayuni
Oct 09, 2024 03:18Muqawama wa Kiislamu wa Iraq umelenga shabaha moja muhimu ya utawala habithi wa Kizayuni kusini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel).
-
Alkhamisi, tarehe 3 Oktoba, 2024
Oct 02, 2024 22:46Leo ni Alkhamisi tarehe 29 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1446 Hijria sawa na Oktoba 3 mwaka 2024.
-
Yair Golan: 'Serikali Sifuri' ya Netanyahu inaiburuza Israel kwenye vita visivyo na mwisho
Sep 16, 2024 00:07Kiongozi wa upinzani katika utawala wa Kizayuni wa Israel Yair Golan ameutaja muungano unaotawala wa waziri mkuu Benjamin Netanyahu kuwa "serikali sifuri" ambayo inaupeleka utawala huo kwenye "vita visivyo na mwisho."
-
Safari ya kihistoria ya Rais Pezeshkian nchini Iraq, yenye matokeo chanya na ya wazi
Sep 15, 2024 07:03Safari ya siku tatu ya Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Iraq imemalizika katika hali ambayo matokeo ya safari hiyo yanaonekana kuwa chanya na ya wazi kabisa katika kuimarisha umoja na mshikamano wa mataifa mawili.
-
Rais Masoud Pezeshkian: Kuimarisha umoja na mshikamano lengo kuu la safari yangu nchini Iraq
Sep 14, 2024 03:48Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema umoja na mshikamano ni lengo kuu la safari yake nchini Iraq na kuongeza kuwa nia na azma ya serikali za Tehran na Baghdad ni kuimarisha uhusiano wa pande mbili na ushirikiano wa kieneo.
-
Azma ya Iran na Iraq ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili
Sep 13, 2024 08:16Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na viongozi wa Iraq wamesisitiza nia na azma ya serikali za Tehran na Baghdad kwa ajili ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili na ushirikiano wa kieneo.