-
Ayatullah Khamenei: Kipaumbele muhimu ni utekelezaji wa makubaliano kati ya Iran na Iraq
Jul 31, 2024 03:36Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema katika mazungumzo yake na Waziri Mkuu wa Iraq kwamba utekelezwaji wa mapatano baina ya nchi hizo mbili ndio kipaumbele muhimu zaidi.
-
Duru mpya ya mazungumzo ya pamoja ya usalama kati ya Marekani na Iraq mjini Washington
Jul 24, 2024 11:14Alina Romanowski, balozi wa Marekani mjini Baghdad, alitangaza siku ya Jumatatu kuhusu kuanza mazungumzo kati ya Marekani na Iraq huko Washington mji mkuu wa Marekani ajenda kuu ikiwa ni "mustakabali wa muungano wa kimataifa."
-
Iran iko tayari kushirikiana katika mapambano dhidi ya magendo ya madawa ya kulevya
Jul 24, 2024 02:37Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran amesema katika kikao cha Mkutano wa Pili wa Kikanda wa Kupambana na Madawa ya Kulevya huko Baghdad kuwa: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko tayari kikamilifu kushirikiana na taasisi na mifumo ya kikanda na kimataifa kuendesha vita dhidi ya mihadarati.
-
Vikosi vya Yemen na Iraq vyafanya operesheni za kuitetea Palestina
Jul 16, 2024 07:18Vikosi vya wanamaji na vya makombora vya Yemen vimefanya operesheni nyingine dhidi ya meli za mafuta zilizokuwa zikielekea katika bandari za utawala wa Kizayuni unaokalia ardhi za Palestina kwa mabavu.
-
Jumapili, 14 Julai, 2024
Jul 14, 2024 03:49Leo ni Jumapili 8 Mfunguo Nne Muharram 1446 Hijria mwafaka na 14 Julai 2024 Miladia.
-
Iran: Waliounga mkono mpango wa silaha za kemikali wa Saddam washtakiwe
Jul 11, 2024 13:22Balozi wa Iran nchini Uholanzi amesisitiza juu ya udharura wa kushtakiwa na kuadhibiwa waungaji mkono wa kigeni wa mpango wa silaha za kemikali wa utawala wa Baath wa Iraq uliokuuwa ukiongozwa na Saddam Hussein.
-
Rais mteule wa Iran na Rais wa Iraq watilia mkazo kustawisha uhusiano wa pande mbili
Jul 09, 2024 12:28Rais mteule wa Iran amezungumza kwa simu na Rais wa Iraq ambapo wamesisitiza udharura wa kustawisha uhusiano wa pande mbili katika nyanja mbalimbali.
-
Wanaharakati wa Iraq waipiga tena kwa makombora bandari ya Eilat ya utawala wa Kizayuni
Jul 01, 2024 08:07Wanaharakati wa Muqawama wa Iraq wamesema kuwa wamefanya shambulizi jipya dhidi ya Bandari ya Eilat katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu Wazayuni na ambazo zimepachikwa jina bandia la Israel.
-
Iran: Mataifa ya Kiislamu yanapaswa kutumia suhula zote ili kusitisha jinai za Wazayuni Gaza
Jun 13, 2024 12:07Kaimu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran haitawaruhusu wavamizi wa Kizayuni kudhoofisha uthabiti na usalama wa eneo hata kwa chembe moja.
-
Ejei: Sera za ndani na nje za Iran zitaendelea kuwa na nguvu zaidi kuliko hapo awali
May 26, 2024 07:23Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo na Mkuu wa Baraza Kuu la Mahakama la Iraq kuwa; Sera za ndani na nje za Iran zitaendelea kuimarika zaidi kuliko hapo awali.