-
Ansarullah: Mkutano wa Bahrain ni sehemu ya Saudia kuitumikia Israel
May 31, 2019 23:11Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, mkutano wa Marekani unaotazamiwa kufanyika nchini Bahrain mwishoni mwa mwezi huu wa Juni ni sehemu ya kujidhalilisha na kujipendekeza utawala wa Aal-Saud wa Saudia Arabia kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Netanyahu apata pigo la kihistoria, uchaguzi mpya waitishwa Israel
May 30, 2019 06:57Bunge la utawala wa Kizayuni wa Israel, Knesset, limepiga kura ya kujivunja baada ya waziri mkuu Benjamin Netanyahu kushindwa kuunda serikali ya mseto na hivyo kulazimika kuitisha uchaguzi mpya.
-
Kamisheni: Israel imewakamata watoto 16,500 wa Kipalestina
May 26, 2019 23:52Ripoti mpya imefichua kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umewatia mbaroni watoto 16,500 tangu ilipoanza Intifadha ya Pili mwishoni mwa mwaka 2000.
-
Qatar: Amani ya Palestina sharti ijumuishe suluhu inayokubaliwa na Wapalestina
May 25, 2019 05:48Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar sambamba na kukosoa mpango wa kufanyika mkutano wa Marekani wa kuzindua hatua ya mwanzo ya utekelezaji wa 'Muamala wa Karne' mwezi ujao wa Juni nchini Bahrain, imesema matakwa ya wananchi wa Palestina lazima yajumuishe kwenye mipango yoyote ya amani na maendeleo inayowahusu.
-
Palestina: Mkutano wa US nchini Bahrain ni wa kuboresha uhusiano wa Waarabu na Israel
May 22, 2019 03:39Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imekosoa vikali mpango wa kufanyika mkutano wa Marekani wa kuzindua hatua ya mwanzo ya utekelezaji wa 'Muamala wa Karne' mwezi ujao wa Juni nchini Bahrain ikisisitiza kuwa kongamano hilo halina lengo jingine ghairi ya kuandaa mazingira ya kuimarisha na kufanya wa kawaida uhusiano kati ya Waarabu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Jordan yaombwa isishiriki mkutano wa Marekani nchini Bahrain
May 21, 2019 23:13Serikali ya Jordan imetakiwa kutoshiriki mkutano wa Marekani wenye lengo la kuzindua hatua ya mwanzo ya utekelezaji wa 'Muamala wa Karne' unaotazamiwa kufanyika mwezi ujao wa Juni nchini Bahrain.
-
Iran: Netanyahu anataka kuigeuza Bahrain kuwa kisiwa cha Israel
May 21, 2019 09:30Msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu anataka kuigeuza Bahrain kuwa kisiwa cha utawala huo wa Kizayuni.
-
Visa vya Wazayuni kuwagonga kwa gari Wapalestina kwa makusudi vyaongezeka
May 21, 2019 09:26Mlowezi wa Kizayuni amemgonga kwa gari Mpalestina kwa makusudi na kumuua shahidi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan unaokaliwa kwa mabavu.
-
Ukosoaji wa Jumuiya ya Kiarabu (Arab League) dhidi ya uamuzi wa Ujerumani kuhusu BDS
May 21, 2019 00:12Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) imeukosoa uamuzi wa serikali ya Ujerumani wa kupiga marufuku nchini humo shughuli za Harakati ya Kimataifa ya Kuususia Utawala haramu wa Israel BDS na kusema kuwa uamuzi huo si wa kisheria.
-
Amnesty yaikosoa Israel kwa kuziuzia silaha nchi zinazokiuka haki za binadamu
May 20, 2019 06:33Shirika la kutetea Haki za Binadamu la Amnesty International limeukosoa vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuendelea kuziuzia silaha na suhula za kiintelijensia nchi ambazo zinatambulikwa kwa ukiukakaji wa haki za binadamu.