-
Israel yafedheheka kwa kutunguliwa ndege yake ya vita huko Syria
Mar 19, 2017 23:30Kufuatia hatua ya hivi karibuni ya kikosi cha Jeshi la Anga la Syria kutungua ndege ya kivita ya utawala haramu wa Israel baada ya ndege hiyo kuingia anga ya Syria, Avigdor Lieberman, Waziri wa Vita wa Israel ametishia kushambulia vituo vya silaha za kutungulia ndege vya Syria.
-
PLO yaikosoa UN kwa kushinikiza kufutwa ripoti dhidi ya Israel
Mar 19, 2017 03:58Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) imekosoa vikali hatua ya Umoja wa Mataifa kuagiza kufutwa ripoti ya Kamati ya Kiuchumi na Kijamii ya Asia Magharibi katika Umoja wa Mataifa (ESCWA) kuhusu siasa za ubaguzi za Israel.
-
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa aungana na Israel dhidi ya Syria, Hizbullah
Mar 19, 2017 02:05Msemaji wa jeshi la utawala haramu wa Israel amekiri kuwa ndege za kivita za utawala huo zimefanya mashambulizi dhidi ya vituo vya kijeshi nchini Syria.
-
Wapalestina waliunga mkono jeshi na serikali ya Syria
Mar 18, 2017 12:20Mwakilishi wa harakati ya Jihadul Islami ya Palestina hapa mjini Tehran amesema kuwa, makundi ya muqawama ya Palestina yanaliunga mkono jeshi na serikali ya Syria katika kukabiliana na uchokozi wa utawala wa Kizayuni na pia kukomboa maeneo yanayokaliwa kwa mabavu na Israel.
-
Russia yamuita Balozi wa Israel kuhusu shambulio dhidi ya Syria
Mar 18, 2017 03:40Russia imemuita Balozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel mjini Moscow ajieleza kuhusu hatua ya jeshi la utawala huo kuhujumu anga ya Syria sambamba na kutekeleza mashambulizi kadhaa katika ardhi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Syria: Shambulizi la Israel ni jaribio la kuwapa motisha magaidi
Mar 17, 2017 23:20Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imemwandikia barua Karibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu shambulizi lililofanywa na utawala haramu wa Israel katika ardhi ya nchi hiyo na kusema ni ukiukaji wa sheria za kimataifa na mamlaka ya kujitawala ya Syria.
-
Katibu Mtendaji wa ESCWA ajiuzulu baada ya UN kufuta ripoti inayoitambua Israel kuwa ni utawala wa Apartheid
Mar 17, 2017 23:19Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Katibu Mtendaji wa Kamati ya Kiuchumi na Kijamii ya Asia Magharibi katika Umoja wa Mataifa (ESCWA) amejizulu wadhifa wake baada ya Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres kutoa amri ya kufutwa ripoti ya kamati hiyo inayoutambua utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ni utawala wa kibaguzi, Apartheid.
-
Wapalestina waushitaki utawala haramu wa Israel katika mahakama ya ICC
Mar 17, 2017 23:18Mwenyekiti wa Kituo cha Haki za Binadamu cha Palestina Radhi al Surani amesema kuwa kutuo hicho kimewasilisha mashtaka sita dhidi ya utawala haramu wa Isarel katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).
-
Zarif: Israel ndio tishio kubwa zaidi la nyuklia duniani
Mar 17, 2017 04:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, utawala wa Kizayuni wa Israel ni "tishio kubwa zaidi la nyuklia" dhidi ya eneo la Mashariki ya Kati na ulimwengu mzima.
-
Wapalestina wengi wanataka Mahmoud Abbas ajiuzulu
Mar 17, 2017 04:09Uchunguzi wa maoni uliofanywa unaonyesha kuwa asilimia 64 ya Wapalestina wanataka Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ajiuzulu.