Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Palestina yaushtaki utawala wa Kizayuni kwa Umoja wa Mataifa

    Palestina yaushtaki utawala wa Kizayuni kwa Umoja wa Mataifa

    Oct 09, 2016 23:14

    Mamlaka ya Ndani ya Palestina imetuma ripoti kwa Umoja wa Mataifa ikiushitaki utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kukanyaga sheria zote za kimataifa.

  • Zarif akosoa masharti ya Ujerumani kwa Iran

    Zarif akosoa masharti ya Ujerumani kwa Iran

    Oct 02, 2016 04:43

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amekosoa vikali matamshi ya hivi karibuni ya Waziri wa Uchumi wa Ujerumani aliyesema kuwa Berlin inaweza kuimarisha uhusiano wake na Tehran kwa sharti kuwa Jamhuri ya Kiislamu iutambue utawala haramu wa Israel.

  • Barret: Polisi ya Marekani imejifunza ukatili kutoka Israel

    Barret: Polisi ya Marekani imejifunza ukatili kutoka Israel

    Oct 02, 2016 04:41

    Mchanganuzi wa masuala ya siasa na mwandishi wa habari wa Marekani amesema ukandamizaji, dhulma na ukatili unaofanywa na maafisa wa polisi wa Marekani dhidi ya Wamarekani wenye asili ya Afrika umetokana na mafunzo waliyopokea kutoka utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Ofisa wa Palestina akamatwa kwa kumkosoa Mahmoud Abbas

    Ofisa wa Palestina akamatwa kwa kumkosoa Mahmoud Abbas

    Oct 02, 2016 04:37

    Vikosi vya usalama vya Palestina vimemkamata ofisa mmoja wa jeshi baada ya kukosoa hatua ya Mamhoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina kuhudhuria mazishi ya Shimon Peres, rais wa zamani wa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Mahmoud Abbas azidi kulaumiwa kwa kushiriki maziko ya Peres

    Mahmoud Abbas azidi kulaumiwa kwa kushiriki maziko ya Peres

    Oct 01, 2016 00:52

    Makundi mbalimbali ya Palestina yameendelea kumlaumu Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina kwa kushiriki kwenye maziko ya nduli wa Israel, Shimon Peres, rais wa zamani wa utawala wa Kizayuni.

  • Balozi wa Iran IAEA: Silaha za Nyuklia za Israel ni tishio kwa amani duniani

    Balozi wa Iran IAEA: Silaha za Nyuklia za Israel ni tishio kwa amani duniani

    Sep 30, 2016 04:19

    Balozi wa Iran katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA amesema silaha za nyuklia za utawala wa Kizayuni wa Israel ni tishio kwa usalama wa eneo na dunia nzima.

  • Sisitizo la Wapalestina la kuendelea na muqawama

    Sisitizo la Wapalestina la kuendelea na muqawama

    Sep 29, 2016 10:07

    Kwa mara nyingine tena, Wapalestina wametumia mnasaba mwingine uliojitokeza kutangaza uungaji mkono wao kwa muqawama hadi watakapofanikisha malengo yote ya taifa lao. Mara hii wapalestina hao wamesisitiza uungaji mkono wao huo wakati wa maadhimisho ya mwaka wa 16 wa kukumbuka Intifadha ya al Aqsa.

  • Rais wa zamani wa Israel aaga dunia

    Rais wa zamani wa Israel aaga dunia

    Sep 27, 2016 23:50

    Rais wa zamani wa utawala haramu wa Israel, Shimon Peres ameaga dunia usiku wa kuamkia leo, wiki mbili baada ya kupatwa na kiharusi

  • Iran yatoa jibu kwa kauli za hadaa za utawala wa Kizayuni wa Israel

    Iran yatoa jibu kwa kauli za hadaa za utawala wa Kizayuni wa Israel

    Sep 24, 2016 06:23

    Mshauri wa Ofisi ya Uwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema utawala wa Kizayuni wa Israel unalitumia Baraza Kuu la umoja huo kutaka kuhadaa fikra za walimwengu.

  • Israel yataka kupitisha sheria ya kuwanyonga mateka wa Kipalestina

    Israel yataka kupitisha sheria ya kuwanyonga mateka wa Kipalestina

    Sep 21, 2016 00:06

    Waziri mmoja wa utawala wa Kizayuni wa Israel amemtaka Waziri wa Vita wa utawala huo haramu Avigdor Lieberman atimize ahadi aliyotoa ya kupitisha sheria ya kuwanyonga Wapalestina wanaoshikiliwa kwenye magereza ya utawala huo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS