-
Ansarullah kupanua wigo wa operesheni zake dhidi ya Israel
Jun 11, 2025 03:48Harakati ya Ansarullah ya Yemen imetangaza kuwa itapanua wigo wa operesheni zake dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Iran: Tutapiga vituo vya siri vya nyuklia vya Israel iwapo tutashambuliwa
Jun 09, 2025 23:33Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran (SNSC) limeonya kuwa, Jamhuri ya Kiislamu itavishambulia vituo vya siri vya nyuklia vya Israel iwapo utawala huo wa Kizayuni utafanya kitendo chochote cha uchokozi dhidi ya taifa hili.
-
Kwa nini Marekani imewawekea vikwazo majaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai?
Jun 08, 2025 03:15Marekani mnamo Alhamisi, Juni 5, iliwawekea vikwazo majaji wanne wa kike wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai kwa kushughulikia kesi zinazohusiana na Israel na hatua za Marekani nchini Afghanistan. Vikwazo hivyo, ambavyo mara nyingi huwekewa maafisa kutoka nchi zinazopinga Marekani, sasa vimewalenga maafisa wa mahakama ya kimataifa.
-
Hamas: Tutaendeleza mapambano hadi tone la mwisho la damu
Jun 07, 2025 03:29Msemaji wa Brigedi za al-Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas amesisitiza kwamba operesheni za wanamuqawama dhidi ya uvamizi wa Israel zitaendelea "hadi pale utawala wa Kizayuni utakaposhindwa."
-
Wafanyakazi wa bandari Ufaransa, Italia wazuia kupelekwa silaha Israel
Jun 07, 2025 03:28Wafanyakazi wa bandari za Ufaransa na Italia wameendelea kufanya mgomo wao na kukataa kupakia shehena za silaha na zana za kijeshi zinazopelekwa Israel, wakisema kuwa hawatahusika katika "mauaji ya halaiki" yanayoendelea Gaza.
-
Akthari ya Waingereza wanataka Israel iwekewe vikwazo
Jun 04, 2025 23:40Utafiti mpya wa maoni uliosimamiwa na Kampeni ya Mshikamano na Palestina (PSC) unaonyesha kuwa, aghalabu ya wananchi wa Uingereza wanaunga mkono kuwekwa vikwazo kamili vya kijeshi dhidi ya utawala wa Israel.
-
Kwa nini mashinikizo dhidi ya Netanyahu hayafanyi kazi?
Jun 04, 2025 07:32Mauaji ya Wapalestina wanaoishi Gaza yanayofanywa na utawala wa Kizayuni yangali yanaendelea, huku nchi na jumuiya mbalimbali za kimataifa zikitoa wito wa kukomeshwa mauaji hayo mara moja.
-
Kwa nini nchi za Amerika ya Latini zimejiunga na safu ya wakosoaji wa Israel?
Jun 03, 2025 22:57Rais Lula da Silva wa Brazil amesisitiza katika matamshi yake kwamba kinachoendelea Gaza si vita bali ni mauaji ya halaiki. Alifafanua: Tunachoshuhudia huko Gaza hivi sasa si vita kati ya majeshi mawili hata kidogo, bali kuna jeshi moja tu lenye weledi kamili ambalo linaua wanawake na watoto wa Ukanda wa Gaza.
-
Uwanja wa Ben Gurion wapigwa tena kombora la hypersonic
Jun 02, 2025 03:13Jeshi la Yemen limesema kuwa limeanzisha tena operesheni mpya za kulipiza kisasi dhidi ya maeneo yanayolengwa na Israel ndani kabisa ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu, ili kukabiliana na jinai na uchokozi unaoendelea dhidi ya Wapalestina wa Gaza.
-
Israel yaua Wapalestina 30 katika vituo vya misaada vya US, Gaza
Jun 01, 2025 03:45Vikosi vya utawala haramu wa Israel vimewamiminia risasi Wapalestina waliokuwa wamekusanyika katika vituo vya kusambaza misaada vinavyoendeshwa na kundi linaloungwa mkono na Marekani kusini na katikati mwa Gaza, na kuua shahidi takriban 30 miongoni mwao huko Rafah, huku Mpalestina mwingine akiuawa shahidi karibu na korido ya Netzarim.