-
Kuongezeka vikwazo vya kimataifa dhidi ya utawala haramu wa Israel
Jul 12, 2024 22:44Moja ya hatua za wazi za kuuwekea mashinikizo na kuutenga utawala wa Kizayuni, ambazo zimeshika kasi katika miezi ya hivi karibuni kutokana na kuendelea vita vya umwagaji damu vya utawala huo huko Ghaza, ni kupanuka kwa harakati ya kuisusia Israel katika ngazi za kimataifa.
-
Wasiwasi wa Washington juu ya ushawishi wa Iran kati ya watetezi wa Palestina huko Marekani
Jul 12, 2024 07:11Harakati ya wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Marekani iliyotikisa maeneo yote ya hiyo na kusababisha mamia ya maandamano, mikusanyiko na migomo katika vyuo vikuu kulalamikia jinai na uhalifu wa Israel hususan mauaji ya kimbari ya watu wa Gaza imekabiliwa na hasira kali ya serikali ya Washington.
-
Netanyahu kutopitia Ulaya akienda US, anahofia kukamatwa
Jul 10, 2024 23:03Waziri Mkuu wa utawala wa Israel, Benjamin Netanyahu amefuta mpango wa kushukia katika moja ya nchi za Ulaya kabla ya kuendelea na safari yake ya kwenda Marekani, akihofia kuwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) inajiandaa kutoa waranti wa kumtia nguvuni kwa tuhuma za kuhusika na jinai za kivita katika Ukanda wa Gaza.
-
Yemen yashambulia meli za US na Israel kwa makombora, droni
Jul 10, 2024 23:02Msemaji wa Jeshi la Yemen amesema vikosi vya wanamaji na vya makombora vya nchi hiyo vimefanya operesheni nyingine dhidi ya meli tatu za kibiashara za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wanahabari 5 ni miongoni mwa Wapalestina 29 waliouawa Gaza
Jul 06, 2024 07:50Wizara ya Afya ya Ukanda wa Gaza imesema waandishi wa habari watano ni miongoni mwa Wapalestina 29 waliouawa shahidi ndani ya saa 24 zilizopita na wanajeshi makatili wa Israel katika eneo hilo la Palestina linalokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni.
-
Hizbullah yashambulia Israel kwa makombora baada ya kamanda wake kuuawa
Jul 04, 2024 22:47Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imeshambulia kwa mamia ya makombora kambi kadhaa za kijeshi za utawala wa Kizayuni Israel huko kaskazini mwa ardhi za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel, kujibu chokochoko za jeshi hilo katili.
-
Hizbullah: Usitishaji vita Gaza, njia pekee ya kutuliza hali mipaka ya Lebanon
Jul 03, 2024 03:15Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema usitishaji kamili wa vita katika Ukanda wa Gaza ndio njia pekee ya kupatikana amani katika mipaka ya Lebanon na ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Kamanda Hajizadeh: Muqawama wa Palestina lazima utapata ushindi Gaza
Jul 02, 2024 03:38Kamanda wa Kikosi cha Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema hakuna chembe ya shaka kuwa muqawama wa Palestina utapata ushindi wa 'kishindo' mkabala wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Wanaharakati wa Iraq waipiga tena kwa makombora bandari ya Eilat ya utawala wa Kizayuni
Jul 01, 2024 04:37Wanaharakati wa Muqawama wa Iraq wamesema kuwa wamefanya shambulizi jipya dhidi ya Bandari ya Eilat katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu Wazayuni na ambazo zimepachikwa jina bandia la Israel.
-
Gazeti la Kizayuni la Haaretz: Vita na Hizbullah ni "kujitia kitanzi"
Jun 30, 2024 22:52Gazeti moja la Kizayuni linalochapishwa mjini Tel Aviv limetabiri kuwa, matokeo ya vita vikubwa kati ya utawala wa Kizayuni na Hizbullah ya Lebanon ni sawa na kujitia kitanzi Israel na kushindwa vibaya sana.