Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Afrika ya Kati

  • Mahakama ya Jamhuri ya Afrika ya Kati yawahukumu kifungo wanamgambo 3 kwa jinai dhidi ya binadamu

    Mahakama ya Jamhuri ya Afrika ya Kati yawahukumu kifungo wanamgambo 3 kwa jinai dhidi ya binadamu

    Nov 02, 2022 02:47

    Mahakama Maalumu inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati imewapata na hatia wanamgambo watatu kwa kutenda jinai dhidi ya binadamu na kuwahukumu vifungo vya jela kuanzia miaka 20 hadi vifungo vya maisha.

  •  Mahakama Jamhuri ya Afrika ya Kati yaanza kusikiliza kesi ya kwanza ya jinai za kivita

    Mahakama Jamhuri ya Afrika ya Kati yaanza kusikiliza kesi ya kwanza ya jinai za kivita

    May 17, 2022 07:36

    Mahakama Inayoendesha Kesi za Uhalifu wa Kivita nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati imeanza kusikiliza kesi ya kwanza ya watu wanaotuhumiwa kuhusika na jinai za kivita katika vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo. Kikao cha kwanza cha Mahakama Kuu ya Uhalifu Afrika ya Kati kilifanyika kusikiliza kesi ya watuhumiwa wa uhalifu wa kivita katika vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo.

  • Mazungumzo ya amani ya CAR yamalizika pasina na matunda yoyote

    Mazungumzo ya amani ya CAR yamalizika pasina na matunda yoyote

    Mar 29, 2022 01:30

    Mazungumzo ya amani katika nchi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati iliyoathiriwa na vita vya ndani vinavyoendelea tangu mwaka 2013 yamemalizika pasina na kuchukuliwa na maamuzi muhimu.

  • Kadhaa wauawa katika shambulio la waasi Jamhuri ya Afrika ya Kati.

    Kadhaa wauawa katika shambulio la waasi Jamhuri ya Afrika ya Kati.

    Mar 25, 2022 14:24

    Watu wasiopungua watano wameuawa baada ya genge moja la waasi kushambulia kambi ya jeshi huko mashariki mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati.

  • Shambulio jipya la waasi laua watu 33 Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Shambulio jipya la waasi laua watu 33 Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Dec 02, 2021 08:12

    Watu wapatao 33, wakiwemo wanajeshi wawili, wameuawa katika mashambulizi yaliyofanywa kwa wakati mmoja na watu wenye silaha wanaoshukiwa kuwa waasi wa kundi liitwalo 3R katika vijiji viwili vilivyoko kaskazini magharibi mwa mkoa wa Ouham-Pendé, nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati.

  • Wakimbizi 15,000 kutoka Jamhuri ya Afrika ya Kati wamiminika Kongo DR

    Wakimbizi 15,000 kutoka Jamhuri ya Afrika ya Kati wamiminika Kongo DR

    Nov 05, 2021 07:47

    Zaidi ya raia 15,000 wa Jamhuri ya Afrika ya Kati waliokimbia mapigano kati ya jeshi na waasi wamevuka mpaka na kuingia eneo la Bosobolo, Ubangi Kaskazini katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ndani ya muda wa siku 17.

  • Rwanda na Jamhuri ya Afrika ya Kati zafikia makubaliano ya kilimo + Sauti

    Rwanda na Jamhuri ya Afrika ya Kati zafikia makubaliano ya kilimo + Sauti

    Sep 15, 2021 04:24

    Nchi za Rwanda na Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) zimekubaliana kuunda tume maalumu itakayoratibu ushirikiano wa mataifa hayo mawili katika sekta ya kilimo na biashara,. Sylvanus Karemera na maelezo zaidi kutoka Kigali

  • UN: Raia sita wauawa katika shambulio la waasi kaskazini mwa CAR

    UN: Raia sita wauawa katika shambulio la waasi kaskazini mwa CAR

    Aug 01, 2021 08:04

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa watu sita wameuawa katika shambulio la waasi wanaobeba silaha kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati.

  • Raia 13 wauawa katika shambulio la wabeba silaha Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Raia 13 wauawa katika shambulio la wabeba silaha Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Jul 23, 2021 07:45

    Umoja wa Mataifa umetangaza habari ya kuuawa raia wasiopungua 13 katika shambulio la wabeba silaha huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.

  • 7 wauawa baada ya waasi kushambulia kambi za jeshi CAR

    7 wauawa baada ya waasi kushambulia kambi za jeshi CAR

    Jul 01, 2021 07:38

    Watu wasiopungua saba wameuawa katika msururu wa mashambulio ya genge moja la waasi mashariki mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS