-
Mazungumzo ya kusaka amani CAR kufanyika Khartoum, Sudan
Jan 20, 2019 10:39Duru mpya ya mazungumzo ya amani kati ya serikali ya Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) na makundi 14 ya upinzani imepangwa kufanyika wiki ijayo mjini Khartoum, Sudan.
-
Russia kufungua kituo cha kijeshi Jamhuri ya Afrika ya Kati
Jan 11, 2019 12:25Russia inatafakari kufungua kituo cha kijeshi katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, ambako tayari Moscow inaendelea kutoa mafunzo kwa wanajeshi wa nchi hiyo ya Kiafrika.
-
AU na UN zafufua mazungumzo ya amani Jamhuri ya Afrika ya Kati
Jan 09, 2019 13:28Maafisa wa ngazi za juu wa Umoja wa Afrika na Umoja wa Mataifa wako katika Jamhuri ya Afrika ya Kati kwa lengo la kuhuisha mchakato wa mazungumzo ya amani uliokwama tangu Julai mwaka 2017.
-
CAR yahitaji dola milioni 430 kuwasaidia wananchi 2019
Jan 08, 2019 03:48Jamhuri ya Afrika ya kati, CAR inaendelea kukabiliwa na janga la kibinadamu ambapo mtu mmoja kati ya wanne ni mkimbizi wa ndani au nje ya nchi, imesema Ofisi ya Kuratibu Misaada ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa, OCHA.
-
Unicef: Watoto milioni 1.5 wa CAR wanahitaji msaada wa dharura
Nov 30, 2018 23:16Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa Unicef umesema thuluthi mbili ya watoto wa Jamhuri ya Afrika ya Kati wapo katika hatari ya kupoteza maisha iwapo hawatafikishiwa msaada wa dharura haraka iwezekenavyo.
-
'Rambo' aliyeongoza mauaji ya Waislamu wa CAR akabidhiwa ICC
Nov 18, 2018 10:48Mbabe wa kivita aliyeongoza kundi la wanamgambo wa Kikristo katika mauaji, utesaji na kufukuzwa makwao Waislamu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati amekamatwa na kukabidhiwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC.
-
Hofu ya Katibu Mkuu wa UN baada ya mauaji CAR
Nov 18, 2018 03:37Kufuatia mashambulizi ya wiki hii nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati , CAR, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema anashikamana na taifa hilo na kuonya kwamba mashambulizi dhidi ya raia wasio na hatia wasioweza kujitetea na walinda amani wa Umoja wa Mataifa yanaweza kuwa ni uhalifu wa kivita.
-
42 wapoteza maisha katika mapigano ya Wakristo na Waislamu CAR + Sauti
Nov 17, 2018 13:03Watu wasiopungua 42 wanaripotiwa kuuawa huko Jamhuri ya Afrika ya Kati, kufuatia mapigano kati ya makundi hasimu ya Wakristo na Waislamu.
-
UN: Watu milioni 2 wanahitaji msaada wa dharura wa chakula CAR
Nov 08, 2018 12:19Mpango wa Chakula Duniani WFP umesema watu milioni mbili wapo katika hatari ya kupoteza maisha iwapo hawatafikishiwa msaada wa dharura wa chakula huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
António Guterres asisitiza umuhimu wa kuimarishwa nafasi ya askari wa Umoja wa Mataifa katika kurejesha usalama nchini CAR
Oct 23, 2018 23:21Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres ameutaka umoja huo kuimarisha nafasi yake nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati.