-
Wanamgambo wa Mai-Mai washambulia kambi ya wakimbizi mashariki mwa DRC
Aug 07, 2016 03:01Wanamgambo wa Mai-Mai wameshambulia kambi moja ya wakimbizi katika mkoa wa Kivu Kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
Raia wa mashariki mwa Kongo watakiwa kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi
Aug 06, 2016 23:11Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amewatolea wito raia wa mashariki mwa nchi hiyo kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi ujao.
-
Uganda yaahidi kuisaidia DRC kupambana na waasi wa ADF
Aug 05, 2016 00:22Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameahidi kuwa serikali yake itaisaidia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kukabiliana na kundi la waasi la ADF-Nalu ambalo limekuwa tishio la muda mrefu la nchi mbili hizo jirani.
-
Polisi na wapinzani wakabiliana Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Aug 03, 2016 09:46Msemaji wa polisi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amesema kuwa, vikosi vya polisi vimekabiliana na wapinzani wa serikali na kusababnisha mtafaruku mkubwa.
-
Katumbi: Uchaguzi Kongo DR unapasa kufanyika kama ilivyopangwa
Aug 02, 2016 21:54Kiongozi wa upinzani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye sasa yupo uhamisoni amesema uchaguzi wa Rais nchini humo ni lazima ufanyike katika muda ulioainishwa.
-
Maandamano ya kumuunga mkono Rais Kabila wa DRC
Jul 30, 2016 03:37Maelfu ya wafuasi wa Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo walijitokeza mabarabarani hapo jana Ijumaa na kufanya maandamano ya kumuunga mkono kiongozi huyo, siku mbili baada ya wafuasi wa Etienne Tshishekedi, kiongozi mkongwe wa upinzani kurejea nchini baada ya kuwa nje ya nchi kwa zaidi ya miaka miwili na kukaribishwa kwa maandamano makubwa ya kumuunga mkono.
-
Etienne Tshisekedi arejea Congo baada ya kuwa nje kwa miaka miwili
Jul 28, 2016 03:12Kiongozi mkongwe wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Etienne Tshisekedi amerejea Kinshasa kutoka Ubelgiji alikokwenda kwa ajili ya matibabu miaka miwili iliyopita.
-
Wakazi wa vijiji 5 wahama Ituri kwa kuhofia usalama wao
Jul 24, 2016 23:57Duru za habari nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimeripoti kwamba, wakazi wa vijiji vitano vya mkoa wa Ituri, wamelazimika kuhama myumba zao kutokana na wasi wasi wa kushambuliwa na makundi ya wabeba silaha wasiojulikana.
-
Mapigano mengine yaibuka mashariki mwa Congo kati ya jeshi na waasi wa Mai-Mai
Jul 22, 2016 23:44Mapigano mapya yameripotiwa kutokea kati ya waasi wa Mai-Mai na jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
Mapigano ya kikabila yauwa na kujeruhi watu kadhaa Kivu Kaskazini
Jul 20, 2016 11:41Watu kadhaa wameuawa na kujeruhiwa katika mapigano ya kikabila yaliyojiri katika kijiji kimoja mkoani Kivu ya Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.