-
Mapigano makali yajiri baina ya wanajeshi na waasi Kivu Kaskazini
Jul 18, 2016 09:40Mapigano makali yameripotiwa kujiri baina ya wanajeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na waasi huko Kivu Kaskazini.
-
Kuanza utekelezaji wa mpango wa kuwapokonya silaha waasi DRC
Jul 18, 2016 03:40Mpango wa kuwapokonya silaha waasi walioko katika mkoa wa Ituri huko kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umeanza kutekelezwa.
-
Muungano wa waasi washambulia mkoa wa Ituri Kongo DR
Jul 16, 2016 11:33Duru za kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimearifu kuwa, muungano wa makundi ya wabeba silaha umeshambulia eneo katika mkoa wa Ituri nchini humo.
-
WHO: Maambukizi ya homa ya manjano DRC yaongezeka kwa 38%
Jul 16, 2016 02:16Shirika la Afya Duniani WHO lilisema kuwa kesi za maambukizi mapya ya ugonjwa hatari wa homa ya manjano katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimeongezeka kwa asilimia 38 katika kipindi cha wiki tatu zilizopita.
-
UN yataka kuanza mazungumzo ya kitaifa Kongo
Jul 16, 2016 00:05Mkuu wa kikosi cha kimataifa cha kulinda amani katika Jamhuri yqa Kidemokrasia ya Kongo ametilia mkazo udharura wa kufanyika mazungumzo ya kitaifa kwa ajili ya kuzuia kushadidi mgogoro nchini humo.
-
Umoja wa Mataifa wasikitishwa na uvunjaji wa haki za binadamu DRC
Jul 14, 2016 11:20Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kinshasa imeelezea kusikitishwa kwake na kuendelea vitendo vya uvunjanji wa haki za binadamu nchini Kongo na kusema kuwa, zaidi ya kesi elfu mbili za uvunjaji wa haki za binadamu zimeripotiwa nchini humo katika miezi sita ya kwanza ya mwaka huu.
-
Wakongomani waandamana kulalamikia kuuliwa raia wa Kongo nchini India
Jul 07, 2016 02:54Hali ya wasiwasi imetawala Kinshasa, mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya watu kumiminika mitaani kulalamikia kuuawa raia mmoja wa nchi hiyo huko India.
-
Maelfu ya wakimbizi wagawiwa chakula Kivu Kusini DRC
Jul 06, 2016 09:25Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu limetangaza kuwa, limewagawia chakula maelfu ya wakimbizi katika mkoa wa Kivu Kusini huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
Waasi wa ADF waua watu 9 kaskazini mwa Kongo DR
Jul 06, 2016 00:01Watu 9 wameuawa na kundi la waasi wa ADF-Nalu wa Uganda kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Mkuu wa upinzani DRC apuuza waranti ya kukamatwa dhidi yake
Jul 05, 2016 08:52Moise Katumbi, kinara wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amepuuzilia mbali waranti ya kukamatwa iliyotolewa dhidi yake na serikali ya nchi hiyo na kusema kuwa atarejea nchini karibuni hivi kwa ajili ya kuwania urais.