Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • Mgombea urais wa muungano wa wapinzani DRC atuhumiwa kufanya wizi

    Mgombea urais wa muungano wa wapinzani DRC atuhumiwa kufanya wizi

    Jun 22, 2016 11:05

    Mgombea urais wa muungano wa wapinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ametuhumiwa kupora nyumba ya raia mmoja wa Ubelgiji.

  • ICC yamhukumu Bemba wa DRC miaka 18 jela

    ICC yamhukumu Bemba wa DRC miaka 18 jela

    Jun 21, 2016 10:32

    Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imemhukumu miaka 18 jela Makamu wa Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Jean-Pierre Bemba ambaye alikuwa anakabiliwa na tuhuma za kutenda jinai za kivita katika nchi jirani ya Jamhuri ya Afrika ya Kati kati ya mwaka 2002-2003.

  • Miili 19 ya Waethiopia yapatikana kwenye lori DRC

    Miili 19 ya Waethiopia yapatikana kwenye lori DRC

    Jun 19, 2016 10:12

    Miili ya raia 19 wa Ethiopia waliofariki dunia kwa kukosa hewa ndani ya lori moja la mizigo la Zambia imepatikana kusini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Jeshi la Kongo DR lashambuliana na waasi, mkoa wa Kivu Kusini

    Jeshi la Kongo DR lashambuliana na waasi, mkoa wa Kivu Kusini

    Jun 18, 2016 23:54

    Duru za jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimeripoti kujiri mapigano baina ya jeshi la serikali na waasi katika mkoa wa Kivu Kusini, mashariki mwa nchi hiyo.

  • Umoja wa Mataifa watahadharisha juu ya hali ya kiusalama DRC

    Umoja wa Mataifa watahadharisha juu ya hali ya kiusalama DRC

    Jun 18, 2016 03:37

    Umoja wa Mataifa umeonya kuwa, yumkini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ikatumbukia katika wimbi la ghasia za uchaguzi kama Burundi.

  • Mapigano kati ya jeshi la Kongo na wanamgambo mashariki mwa nchi

    Mapigano kati ya jeshi la Kongo na wanamgambo mashariki mwa nchi

    Jun 17, 2016 10:24

    Duru za kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimearifu kuhusu kujiri mapigano kati ya askari jeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa na jeshi la nchi hiyo dhidi ya makundi yenye silaha mashariki mwa nchi.

  • Wanajeshi kadhaa DRC wakamatwa mkoani Ituri

    Wanajeshi kadhaa DRC wakamatwa mkoani Ituri

    Jun 13, 2016 02:38

    Wanajeshi kadhaa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (FARDC) wametiwa mbaroni katika mkoa wa Ituri kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

  • Tuhuma za mapinduzi ya kijeshi za serikali ya Kongo DR dhidi ya  wapinzani

    Tuhuma za mapinduzi ya kijeshi za serikali ya Kongo DR dhidi ya wapinzani

    Jun 12, 2016 22:25

    Chama tawala nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kimewatuhumu wapinzani wa nchi hiyo kwa kula njama za kufanya mapinduzi ya kijeshi dhidi ya serikali.

  • Watu wenye silaha washambulia mashariki mwa DRC

    Watu wenye silaha washambulia mashariki mwa DRC

    Jun 12, 2016 22:08

    Duru za kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zinasema kuwa watu wenye silaha wamefanya shambulizi dhidi ya vijiji vya kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

  • DRC yakosoa ripoti ya HRW kwamba askari wake waliua CAR

    DRC yakosoa ripoti ya HRW kwamba askari wake waliua CAR

    Jun 10, 2016 09:46

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imekosoa ripoti ya hivi karibuni ya Human Rights Watch iliyodai kuwa askari wa nchi hiyo wa kulinda amani huko Jamhuri ya Afrika ya Kati waliua na kukandamiza raia wasio na hatia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS