Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • Wapinzani wa serikali ya DRC wakutana nchini Ubelgiji

    Wapinzani wa serikali ya DRC wakutana nchini Ubelgiji

    Jun 10, 2016 02:52

    Vyombo vya habari vimeripoti habari ya kukutana wapinzani wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo nchini Ubelgiji.

  • Raia 100 watekwa nyara na wanamgambo kaskazini mwa Kongo DR

    Raia 100 watekwa nyara na wanamgambo kaskazini mwa Kongo DR

    Jun 07, 2016 23:29

    Viongozi wa kieneo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wameonyesha wasi wasi wao juu ya hatma ya raia 100 waliotekwa nyara na wanamgambo huko kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Ulaya yatofautiana na Marekani kuhusu kuwekewa vikwazo DRC

    Ulaya yatofautiana na Marekani kuhusu kuwekewa vikwazo DRC

    Jun 07, 2016 03:30

    Nchi za bara Ulaya zimetilia shaka hatua ya Marekani kushinikiza kuwekewa vikwazo Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa lengo la kumtaka Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo asigombee urais kwa muhula wa tatu.

  • Serikali ya Kongo na wapinzani wasisitiza kuendelea na mazungumzo ya amani

    Serikali ya Kongo na wapinzani wasisitiza kuendelea na mazungumzo ya amani

    May 29, 2016 02:19

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na wapinzani wa harakati ya zamani ya waasi ya Machi 23 wamesisitiza kuendeleza mazungumzo ya kusaka amani nchini humo.

  • Wafuasi wa upinzani DRC kuandaa maandamano Kinshasa leo

    Wafuasi wa upinzani DRC kuandaa maandamano Kinshasa leo

    May 25, 2016 22:55

    Vyombo vya usalama katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo vimeupa idhini muungano wa vyama vya upinzani nchini humo kuandaa maandamano katika mji mkuu Kinshasa hii leo.

  • Mivutano ya kisiasa Kongo yautia wasiwasi Umoja wa Mataifa

    Mivutano ya kisiasa Kongo yautia wasiwasi Umoja wa Mataifa

    May 23, 2016 02:45

    Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ameelezea wasiwasi wa umoja huo kufuatia kuongezeka mizozo ya kisiasa nchini humo.

  • UN: Wakimbizi wa Burundi na DRC walioko Rwanda wanahitaji msaada

    UN: Wakimbizi wa Burundi na DRC walioko Rwanda wanahitaji msaada

    May 22, 2016 11:52

    Umoja wa Mataifa umesema wakimbizi raia wa Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo walioko nchini Rwanda wanahitajia misaada ya dharura na kwamba idadi ya wakimbizi wanaoingia nchini humo kutoka nchi mbili hizo na haswa Burundi ni ya kutia wasi wasi.

  • Wanachama wa makundi ya waasi watiwa mbaroni mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    Wanachama wa makundi ya waasi watiwa mbaroni mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    May 22, 2016 03:42

    Afisa wa jeshi la serikali nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ameelezea habari ya kutiwa mbaroni wanachama kadhaa wa kundi la waasi wa Mai-Mai mashariki mwa nchi hiyo.

  • Waasi kadhaa watiwa mbaroni mashariki mwa DRC

    Waasi kadhaa watiwa mbaroni mashariki mwa DRC

    May 21, 2016 11:27

    Afisa mmoja mwandanamizi wa jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ametangaza habari ya kutiwa mbaroni waasi kadhaa wa kundi la Mai Mai, mashariki mwa nchi hiyo.

  • Serikali ya DRC yamruhusu kiongozi wa upinzani Moise Katumbi akatibiwe nje ya nchi

    Serikali ya DRC yamruhusu kiongozi wa upinzani Moise Katumbi akatibiwe nje ya nchi

    May 20, 2016 23:42

    Duru rasmi za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo zinaripoti kwamba, Moise Katumbi mwanasiasa aliyetangaza nia ya kuwania kiti cha urais katika uchaguzi ujao na ambaye anakabiliwa na kesi ya kuajiri mamluki ameruhusiwa kutoka nchini humo kwa ajili ya kwenda kupatiwa matibabu nje ya nchi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS