-
DRC yafunga mbunga ya wanyamapori ya Virunga baada ya mashambulizi
Jun 05, 2018 03:45Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza kusitisha shughuli za utalii ndani ya Mbuga ya Wanyamapori ya Virunga hadi mwaka ujao kufuatia mashambulizi kadhaa na utekaji nyara ndani ya mbuga hiyo.
-
Iran na Kongo DR, wahanga wa propaganda za vyombo vya habari
Jun 04, 2018 10:15Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Vyombo vya Habari katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (ACP) ametoa mwito wa kuimarishwa uhusiano wa nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kupambana na propaganda za maadui dhidi ya nchi mbili hizo.
-
Chama tawala DRC chamuandalia Kabila mazingira ya kugombea muhula wa tatu
May 30, 2018 03:00Chama tawala katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kimemuandalia Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo mazingira ya kugombea urais kwa muhula wa tatu, licha ya lalama na makelele kutoka vyama vya upinzani.
-
Chanjo ya Ebola yaanza kutolewa vijijini Kongo DR
May 27, 2018 23:21Wizara ya Afya katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo leo Jumatatu inaaza kupeana chanjo ya ugonjwa hatari wa Ebola katika vijiji viwili vilivyoathiriwa na mlipuko wa sasa wa maradhi hayo.
-
Watu 30 wauawa katika mapigano mashariki mwa Kongo DR
May 27, 2018 02:44Watu 30 wameuawa katika mapigano kati ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na wanamgambo wa Mai-Mai mashariki mwa nchi hiyo.
-
Watu 49 waghariki katika ajali ya boti mtoni kaskazini mwa Kongo DR
May 25, 2018 02:26Watu 49 wameripotiwa kupoteza maisha baada ya boti kuzama mtoni kaskazini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Wagonjwa watatu wa Ebola watoroka karantini nchini Kongo + Sauti
May 23, 2018 10:05Wagonjwa watatu walioambukizwa ugonjwa hatari wa Ebola wametoroka eneo la karantini walimokuwa katika hospitali moja huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika mji wa Mbandaka huku madakatari wakiwa mbioni kuzuia ugonjwa huo hatari kuenea.
-
War Child: Watoto wanajiunga na makundi ya waasi 'kwa khiari' DRC
May 23, 2018 03:07Shirika la kimataifa la kutetea haki za watoto walioathiriwa na migogoro duniani la War Child limesema aghalabu ya watoto wadogo wanaoujiunga na makundi ya waasi wanaobeba silaha katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanafanya hivyo kwa khiari kwa sababu hawana chaguo mbadala.
-
Wakazi wa mashariki mwa Kongo waandamana kulaani udhaifu wa jeshi katika kukabiliana na waasi
May 22, 2018 23:07Utendaji dhaifu wa jeshi la serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika kukabiliana na waasi wa maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo, umewakasirisha wakazi wa maeneo hayo na kuamua kufanya maandamano.
-
Chanjo ya Ebola kuanza kutolewa Kongo DR kesho Jumatatu
May 20, 2018 09:59Wafanyakazi wa sekta ya afya wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wataanza kupewa chanjo ya Ebola kesho Jumatatu katika juhudi za kuzuia kuenea ugonjwa huo hatari.