-
UNHCR: Kuna wasiwasi wa wakimbizi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati kumiminika DRC
May 19, 2018 09:18Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limeeleza wasiwasi lilionao juu ya uwezekano wa wakimbizi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati kuelekea kwa wingi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
WHO yatuma dozi ya kwanza ya ugonjwa Ebola nchini Kongo DRC
May 16, 2018 23:54Shirika la Afya Duniani WHO limetuma shehena ya kwanza ya dozi 4,000 za chanjo ya ugonjwa hatari wa Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
SAUTI, Hatua ya Rais Kabila ya kuwateua majaji wapya, yanyoshewa kidole cha lawama na wapinzani
May 15, 2018 12:07Mwenendo wa Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wa kuwateua viongozi wa serikali umeendelea kukosolewa na asasi mbalimbali za nchi hiyo.
-
WHO yapewa idhini ya kutumia chanjo ya Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
May 14, 2018 22:43Maafisa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamelipatia idhini Shirika la Afya Duniani (WHO) kuingiza na kutumia nchini humo chanjo ya majaribio ya ugonjwa wa Ebola. Hayo yameelezwa jana na Dakta Tedros Adhanom Ghebreyesus Mkurugenzi Mkuu wa WHO.
-
UN: Wakimbizi 15,000 kutoka Sudan Kusini, DRC wameingia Uganda Aprili
May 12, 2018 23:46Ripoti mpya ya Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR imebainisha kuwa, wakimbizi 15,000 hususan kutoka nchi za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Sudan Kusini wameingia nchini Uganda mwezi uliopita pekee wa Aprili.
-
UNICEF: Watoto laki 4 Kongo DR wapo katika hatari ya kufa njaa
May 12, 2018 02:58Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umesema watoto laki nne wapo katika ncha ya kupoteza maisha kutokana na baada la njaa linalowasakama katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
WHO yatahadharisha juu ya kuibuka tena ugonjwa wa Ebola huko DRC
May 11, 2018 23:47Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha juu ya uwezekano wa kuibuka tena ugonjwa wa Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
ICC yasisitiza kuchunguzwa jinai za kivita zilizofanywa Kongo DR
May 05, 2018 22:05Mkuu wa Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ametaka uanzishwe uchunguzi kuhusu ripoti za ukiukaji haki za binadamu uliofanywa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kupandishwa kizimbani waliohusika na vitendo hivyo.
-
Mwendesha Mashtaka wa ICC yuko DRC kuchunguza jinai dhidi ya binadamu
May 02, 2018 10:25Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC, yuko katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuchunguza jinai za kutisha zilizofanyika na zinazoendelea kufanyika nchini humo.
-
Polisi ya Rwanda yawakamata makumi ya wakimbizi wa Kongo DR
May 02, 2018 10:25Polisi ya Rwanda imewatia nguvuni wakimbizi 23 wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo walioko nchini humo, kwa tuhuma za kuwashambulia kwa mawe maafisa waandamizi wa polisi na serikali, waliotembelea kambi yao.