-
Iran, China na Russia zazitaka nchi za Magharibi zianze tena kutekeleza makubaliano ya nyuklia
Jun 05, 2024 03:58Iran, China na Russia zimesisitiza kuwa, vifungu vya mkataba wa nyuklia wa JCPOA vingali vina itibari na kuzishauri nchi za Magharibi ambazo zimekwamisha utekelezaji wa mapatano hayo kwa kutochukua hatua na kukhalifu kutekeleza ahadi na majukumu yao, zionyeshe utashi wa kisiasa na kuchukua hatua zinazohitajika ili kuanza kutekeleza tena makubaliano hayo.
-
Mkurugenzi Mkuu wa IAEA: Iran haina silaha za nyuklia
Mar 31, 2024 07:53Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) ametenganisha baina ya kategoria ya kurutubisha madini ya urani na mchakato wa uundaji silaha za nyuklia na kutangaza kuwa Iran haitengenezi silaha za nyuklia licha ya kuwa na akiba ya urani iliyorutubishwa.
-
Russia: Makubaliano ya JCPOA hayana mbadala wake
Feb 20, 2024 09:23Balozi na Mwakilishi wa Russia katika taasisi za kimataifa zenye makao huko Vienna nchini Austria amesema njia pekee ya kuyahuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni kuyarejesha katika hali yake ya asili.
-
Guterres: US iifutie Iran vikwazo ili JCPOA iendelee kutekelezwa
Dec 19, 2023 23:35Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameitaka Marekani iiondolee vikwazo sekta ya mafuta ya Iran ili makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ambayo Washington ilijiondoa kwayo Mei mwaka 2019 yaendelee kutekelezwa.
-
Russia yataka kurejea Marekani na Troika ya Ulaya kwenye makubaliano ya nyuklia na Iran
Nov 24, 2023 03:51Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika taasisi za kimataifa ameeleza kuwa, Moscow inazitaka Marekani na kundi la Troika ya Ulaya zirejee katika Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) kuhusu miradi ya nyuklia ya Iran.
-
Ijumaa, tarehe 24 Novemba, 2023
Nov 23, 2023 23:28Leo ni Ijumaa tarehe 10 Mfunguo Nane Jamadil Awwal 1445 Hijria inayosadifiana na tarehe 24 Novemba 2023.
-
Raisi: Iran haina mpango wa kumiliki silaha za nyuklia
Sep 24, 2023 23:42Rais wa Iran amepuuzilia mbali madai ya madola ya Magharibi kwamba Jamhuri ya Kiislamu inataka kuunda silaha za nyuklia.
-
Uvunjaji ahadi mwingine wa Troika ya Ulaya kuhusu mapatano ya JCPOA
Sep 16, 2023 22:55Kupitia taarifa iliyochapishwa kwenye tovuti ya Umoja wa Ulaya Alhamisi usiku, Josep Burrell, mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya alitangaza kuwa nchi tatu za Ulaya, ambazo ni Uingereza, Ufaransa na Ujerumani, zimemwandikia barua zikitangaza kwamba hazitaondoa vikwazo vya makombora dhidi ya Iran, ambavyo muda wake umepangwa kumalizika tarehe 18 Oktoba 2023.
-
Russia: Marekani ndiyo ya kulaumiwa kwa kutotekelezwa JCPOA
Aug 09, 2023 07:56Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema mustakabali wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA upo mikononi mwa Marekani na nchi za Ulaya, huku akitilia shaka azma ya Wamagharibi ya kuyahuisha mapatano hayo kikamilifu.
-
Amir Abdollahian: Tumepokea mapendekezo ya Oman ili kurejesha pande zote katika JCPOA
Jul 20, 2023 08:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuhusu mazungumzo yake na mwenzake wa Oman kwamba: Muscat inafanya juhudi za kukurubisha mitazamo ili pande zote husika zirejee katika utekelezaji wa majukumu yake katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA.