Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

JCPOA

  • Zarif: EU ichukue hatua za kivitendo katika kuendeleza ushirikiano na Iran

    Zarif: EU ichukue hatua za kivitendo katika kuendeleza ushirikiano na Iran

    May 20, 2018 22:02

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: "Umoja wa Ulaya unapaswa kuchukua hatua za kivitendo na kuongeza uwekezaji wake nchini Iran katika kuendeleza ushirikiano wa kibiashara na Tehran."

  • Velayati: Dhamana imara ichukuliwe kutoka nchi za Ulaya kuhusu mapatano ya nyuklia

    Velayati: Dhamana imara ichukuliwe kutoka nchi za Ulaya kuhusu mapatano ya nyuklia

    May 20, 2018 10:18

    Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema: "Mtazamo wa Jamhuri ya Kiislamu ni kuwa, katika mazungumzo na nchi za Ulaya kunapaswa kupatikane dhamana imara ili mapatano ya nyuklia ya JCPOA yasivurugike."

  • Taarifa ya Troika ya Ulaya yaunga mkono kulindwa makubaliano ya JCPOA

    Taarifa ya Troika ya Ulaya yaunga mkono kulindwa makubaliano ya JCPOA

    May 17, 2018 09:59

    Wakuu wa Ufaransa, Ujerumani na Uingreza baada ya kufanya kikao chao cha pande tatu katika mji mkuu wa Bulgaria, Sophia kwa mara nyingine tena wametaka kulindwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kwa hali zote.

  • Russia na Ufaransa kuendelea kufungamana na JCPOA

    Russia na Ufaransa kuendelea kufungamana na JCPOA

    May 15, 2018 22:11

    Siku chache baada ya Rais Donald Trump kutangaza kuiondoa Marekani katika makubaliano ya nyuklia ya Iran yanayofahamika kama JCPOA, kwa mara nyingine tena marais wa Russia na Ufaransa wamesisitizia umuhimu wa pande zilizosalia kuendelea kufungamana na mapatano hayo ya kimataifa.

  • Zarif aanza safari ya kuzitembelea China, Russia na Brussels kuhusu JCPOA

    Zarif aanza safari ya kuzitembelea China, Russia na Brussels kuhusu JCPOA

    May 13, 2018 03:02

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo Jumapili ameelekea mjini Beijing, katika safari ya kuzitembelea China, Russia na Ubelgiji; ziara yenye lengo la kutathmini utayarifu wa jamii ya kimataifa wa kuihakikishia Iran kuwa itasalia katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, licha ya Marekani kujiondoa kwenye mapatao hayo.

  • Maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje US waacha kazi baada ya hatua ya Trump kujiondoa JCPOA

    Maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje US waacha kazi baada ya hatua ya Trump kujiondoa JCPOA

    May 12, 2018 09:23

    Gazeti la Foreign Policy la nchini Marekani, limefichua wimbi la kuacha kazi kwa maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, baada ya hatua ya Rais Donald Trump ya kuiondoa nchi hiyo katika makubaliano ya nyuklia ya Iran JCPOA.

  • Kujizuia Ulaya kubeba gharama za kujitoa Marekani katika makubaliano ya JCPOA

    Kujizuia Ulaya kubeba gharama za kujitoa Marekani katika makubaliano ya JCPOA

    May 12, 2018 07:55

    Jean-Yves Le Drian Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa ameitaja hatua ya Marekani ya kuyawekea mashinikizo mashirika ya nje ambayo yana uhusiano wa kibiashara na Iran kuwa haikubaliki na kueleza kuwa: Nchi za Ulaya hazipasi kubeba gharama za kujitoa Marekani ndani ya JCPOA.

  • Alaeddin Boroujerdi: Umoja wa Ulaya unakabiliwa na mtihani muhimu wa kihistoria

    Alaeddin Boroujerdi: Umoja wa Ulaya unakabiliwa na mtihani muhimu wa kihistoria

    May 11, 2018 23:47

    Mkuu wa Kamati ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, baada ya Marekani kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA hivi sasa Umoja wa Ulaya unakabiliwa na mtihani muhimu wa kihistoria.

  • JCPOA; Siasa za Iran na matarajio yake kwa nchi Ulaya

    JCPOA; Siasa za Iran na matarajio yake kwa nchi Ulaya

    May 11, 2018 23:45

    Baada ya Marekani kujitoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, mashauriano mapana, ya kina na ya nyuga tofauti yanaendelea kufanyika kwa madhumuni ya kuyadumisha makubaliano hayo kwa sharti la kudhaminiwa kivitendo manufaa na maslahi ya Iran. Na wakati nchi za Ulaya, China na Russia zinatangaza uungaji mkono wao kwa JCPOA, Marekani imetangaza vikwazo vingine vipya dhidi ya Iran.

  • Wananchi wa Iran waandamana na kulaani uadui wa Marekani

    Wananchi wa Iran waandamana na kulaani uadui wa Marekani

    May 11, 2018 09:58

    Wananchi wa Iran wameandamana leo katika miji mbalimbali nchini baada ya Sala ya Ijumaa na kulaani vikali kuendelea uadui na ukiukaji ahadi wa Marekani katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS