-
Mogherini: Trump hana uwezo wa kubatilisha JCPOA
Nov 14, 2016 04:34Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amesema makubaliano ya nyuklia kati ya Iran na kundi la 5+1 hayawezi kubatilishwa na serikali moja kwa kuwa yana baraka kamili ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Zarif amuonya Trump asithubutu kukiuka mapatano ya nyuklia ya Iran
Nov 12, 2016 01:13Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran Mohammad Javad Zarif ameonya kuwa iwapo rais mteule wa Marekani atakiuka mapatano ya nyuklia, basi Iran ina machaguo mengine ya kukabiliana na hali hiyo.
-
Rouhani: EU yawania kurejesha uhusiano na Iran baada ya JCPOA
Oct 26, 2016 11:38Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi za Umoja wa Ulaya zipo mbioni kurejesha na kuimarisha uhusiano wao na Tehran, tokea yafikiwe mapatano ya nyuklia yajulikanayo kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA.
-
IMF: Uchumi wa Iran unastawi kwa kasi baada ya JCPOA
Oct 04, 2016 01:15Mfuko wa Fedha Duniani IMF umesema uchumi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran unakuwa kwa kasi kubwa kufuatia kutekelezwa kwa makubaliano ya nyuklia unaofahamika kama Mpango Kamili ya Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Rais Rouhani: Utendaji wa Marekani ni kinyume cha mapatano ya nyuklia
Sep 23, 2016 10:26Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, tume ya pamoja ya kuratibu mapatano ya nyuklia, maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA), imesema utendaji wa Marekani ni kinyume cha mapatano hayo.
-
Federica Mogherini: Iran imetekeleza makubaliano ya JCPOA
Sep 23, 2016 04:34Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefungamana na ahadi zake kuhusiana na makubaliano ya nyuklia yaliyofikia baina yake na kundi la 5+1.
-
Kikao cha kwanza cha kamisheni ya pamoja ya Iran na kundi la 5+1
Sep 22, 2016 23:14Kikao cha kwanza cha kamisheni ya pamoja ya Iran na kundi la 5+1 katika ngazi ya mawaziri baada ya kuanza kutekelezwa makubaliano ya nyuklia (JCPOA) kilifanyika jana Alhamisi huko New York, Marekani kufuatia ombi la Iran.
-
Udiplomasia wa Rais Rouhani mjini New York; ulazima wa kutekeleza kikamlifu mapatano ya nyukli
Sep 22, 2016 03:55Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, katika masaa yake ya awali akiwa mjini New York kwa ajili ya kuhutubu katika Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja za Mataifa, ametumia fursa hiyo kuzungumza na baadhi ya viongozi wa nchi za Ulaya.
-
Amano: Iran imetekeleza mpango wa JCPOA
Sep 19, 2016 22:15Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amesema kuwa Iran imetekeleza ahadi zake kuhusiana na Mpango Kamili ya Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Iran yakosoa ripoti ya Ban kuhusu mapatano ya nyuklia
Jul 19, 2016 09:11Iran imesema ripoti ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Tehran inavyotekeleza mapatano ya nyuklia imejaa maelezo ambayo hayajakamilika.