-
Jumamosi, tarehe 22 Machi, 2025
Mar 22, 2025 02:11Leo ni Jumamosi tarehe 21 mwezi mtukufu wa Ramadhani 1446 Hijria, mwafaka na tarehe 22 Machi 2025.
-
Netanyahu adai mabaki ya mwili yaliyorejeshwa si ya Shiri Bibas, HAMAS yamjibu
Feb 21, 2025 10:54Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amedai kuwa harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imekiuka masharti ya makubaliano ya kubadilishana mateka kwa sababu imekabidhi mwili wa mwanamke asiyejulikana kutoka Ghaza badala ya ule wa mateka wa Kizayuni Shiri Bibas.
-
Mkutano wa dharura wa OIC kuhusu Gaza kufanyika kwa pendekezo la Iran
Feb 13, 2025 02:52Kikao kisicho cha kawaida cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) ch kuchunguza njama ya Marekani na Israel ya kuwaondoa kwa nguvu watu wa Gaza, kitafanyikandani ya wiki zijazo kutokana na pendekezo la Iran.
-
Arab League yalaani wazo la Netanyahu la kuwahamishia Wapalestina Saudia
Feb 10, 2025 11:26Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu amelaani vikali matamshi yaliyotolewa na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, ambaye alipendekeza kuwa Saudi Arabia inaweza kuunda taifa la Palestina ndani ya ardhi yake.
-
Arab League yapinga njama za Trump za kuipora Ghaza
Feb 06, 2025 06:55Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League), imepinga njama mpya za rais wa Marekani, Donald Trump za kutaka kuipora Ghaza na kuwaondoa Wapalestina kwenye eneo lao hilo. Arab League imesema, mpango huo wa Trump ni ukiukaji wa sheria za kimataifa.
-
Nchi za Kiarabu zapinga kuhamishwa Wapalestina wa Gaza
Feb 02, 2025 10:53Nchi kubwa za Kiarabu zimepinga pendekezo la Rais wa Marekani, Donald Trump, la kuwafukuza Wapalestina kutoka Ukanda wa Gaza na kuwapeleka nje ya nchi yao.
-
Arab League: Kunyamazia kimya hali ya Palestina na Lebanon ni sawa na kushiriki katika jinai
Nov 11, 2024 07:53Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) amesemam kuwa kukaa kimya mkabala wa jinai zinazotekelezwa na utawala wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina na Lebanon ni sawa na kushiriki katika jinai hizo.
-
Arab League: Mauaji ya kimbari ya Israel Gaza yanalenga kuwatimua Wapalestina
Oct 15, 2024 02:18Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imelaani operesheni za mauaji ya halaiki ya utawala wa Kizayuni huko Gaza na kuzitaja hatua hizo kuwa ni sehemu ya mpango mpana kuwatimua kwa lazima Wapalestina wa eneo hilo.
-
Umoja wa Mataifa warefusha vikwazo dhidi ya Sudan kwa mwaka mmoja mwingine
Sep 12, 2024 07:38Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limerefusha vikwazo vya silaha dhidi ya Sudan kwa mwaka mmoja mwingine hadi Septemba 12, 2025.
-
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu: 'Kusimamishwa uchokozi wa utawala wa Kizayuni huko Gaza ni takwa la kimataifa'
Sep 11, 2024 06:05Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu amekosoa kitendo cha jamii ya kimataifa cha kushindwa kusimamisha jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya raia wa kawaida wa Palestina na kusisitiza kwamba kusitishwa mauaji ya kimbari dhidi ya raia hao madhulumu huko Gaza ni takwa la kimataifa.