-
Raila Odinga kuanzisha tena vuguvugu la maandamano dhidi ya sera ya ushuru wa Rais Ruto wa Kenya
Dec 31, 2023 08:51Kiongozi wa kambi ya upinzani nchini Kenya, Raila Odinga, amesema kwamba katika mwaka mpya ataanzisha vuguvugu wa kuwahamasisha Wakenya kupinga ubadhirifu wa serikali ikiwa ni pamoja na kutoza ushuru mkubwa kuzuia fedha za elimu bila malipo na ufisadi.
-
Jumanne, Disemba 12, 2023
Dec 12, 2023 03:02Leo ni Jumanne tarehe 28 Mfunguo Nane Jumadil Awwal 1445 Hijria inayosadifiana na tarehe 12 Disemba 2023.
-
Rais Ruto: Kenya imeweka mikakati ya kukabiliana na athari za mafuriko
Nov 25, 2023 13:36Rais William Ruto wa Kenya amesema serikali yake imeweka mipango ya kuwasaidia raia ambao wameathirika na mafuriko yanayoendelea kuripotiwa kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha kwenye kanda ya Afrika Mashariki.
-
Maonyesho ya picha yafanyika Nairobi, Kenya kwa lengo la kuwaunga mkono watu wa Gaza
Nov 21, 2023 12:52Waislamu na watetezi wa Palestina nchini Kenya wamefanya maonyesho ya picha na michoro inayoakisi matukio ya vita vya Gaza ili kuonyesha mshikamano na namna wanavyoumizwa na hali ya wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina.
-
Bunge la Kenya laidhinisha mpango wa nchi hiyo kutuma vikosi vya polisi Haiti
Nov 16, 2023 12:49Bunge la Kenya leo Alhamisi limeidhinisha kutumwa kwa maafisa wa polisi elfu moja katika nchi ya Haiti iliyotumbukia katika machafuko na ghasia za magenge yenye silaha.
-
Ongezeko la vyama vya siasa Kenya kabla ya uchaguzi wa 2027, mradi wa kibiashara?
Oct 29, 2023 14:20Ongezeko la vyama vya siasa vinavyojiandikisha nchini Kenya kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027 limetajwa kuwa ni mradi wa viongozi wa vyama hivyo kwa ajili ya kujipatia kitita kikubwa cha fedha za walipakodi wa Kenya.
-
Wakenya wawasha mishumaa kuonyesha mshikamano na Wapalestina
Oct 15, 2023 11:28Wananchi wa Kenya wamekusanyika na kuwawasha mishumaa katika mji mkuu wa nchi hiyo, Nairobi kuonyesha mshikamano wao na wananchi wa Palestina. Mashirika yaliyoandaa shughuli hiyo ni pamoja na Kenyans 4 Palestine, The Pan African Palestine Solidarity Network (PAPSN) na podkasti ya 'Until Everyone is Free.'
-
Waislamu Kenya wapinga hatua ya Mahakama ya Juu kuruhusu mashoga kusajiliwa
Sep 24, 2023 03:14Viongozi na wasomi wa dini ya Kiislamu wa Kenya wamelaani vikali uamuzi wa Mahakama ya Juu kuruhusu makundi ya mashoga na wasagaji kusajiliwa.
-
Rais wa Kenya: Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa halifai, libadilishwe
Sep 22, 2023 07:34Takwa la muda mrefu la viongozi wengi hususan kutoka Barani Afrika la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lililoundwa tarehe 25 Octoba mwaka 1945 kufanyiwa marekebisho makubwa limeendelea kuchukua nafasi katika hotuba za viongozi wa ngazi za juu wanaohutubia katika mkutano wa 78 wa Baraza Kuu la UN jijini New York ambapo Rais William Ruto wa Kenya amesema sababu zote za kulifanyia marekebisho baraza hilo zipo wazi.
-
Kenya kupeleka vikosi maalumu pwani na kaskazini kukabiliana na ukosefu wa usalama
Sep 21, 2023 02:35Serikali ya Kenya inapanga kupeleka vikosi maalumu katika maeneo ya kaskazini na pwani ili kukabiliana na tishio la ugaidi kufuatia ongezeko la mashambulizi ya kigaidi katika maeneo hayo.