-
Mgomo wa nchi nzima wa madaktari Kenya waacha wagonjwa wakitangatanga, utoaji huduma wakwama
Mar 15, 2024 04:11Madaktari kote nchini Kenya wamewaacha wagonjwa wakitangatanga baada ya kugoma kuhudumu katika hospitali za umma jana Alkhamisi, licha ya agizo la Mahakama la kuzuia mgomo wa kitaifa wa madaktari hao.
-
Kenya yaakhirisha mpango wa kutuma askari polisi Haiti
Mar 13, 2024 04:14Kenya imetangaza habari ya kuakhirisha mpango wake wa kutuma kikosi cha askari polisi 1,000 nchini Haiti, kufuatia kujiuzulu kwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo ya Amerika ya Latini, Ariel Henry.
-
Benin yasema iko tayari kutuma maelfu ya askari nchini Haiti
Feb 27, 2024 03:57Nchi nyingine ya Kiafrika ya Benin imetangaza utayarifu wake wa kutuma maelfu ya askari wataoungana na Kikosi cha Kimataifa cha kulisaidia jeshi la Haiti kupambana na magenge ya uhalifu.
-
Kiongozi wa tapo la kidini Kenya na wenzake 29 washtakiwa kwa mauaji ya watoto 121
Feb 07, 2024 00:19Kiongozi wa tapo la kidini nchini Kenya liitwalo Good News International, Paul Nthenge Mackenzie na wasaidizi wake 29 wameshtakiwa rasmi kuhusika na mauaji ya watoto 191 ambao miili yao ilipatikana kati ya mamia ya watu waliozikwa kwenye msitu wa Shakahola.
-
Rwanda yasitisha matumizi ya dawa za fungus (Kuvu) kutoka Kenya kwa sababu za kiusalama
Jan 05, 2024 08:25Mamlaka husika ya Afya nchini Rwanda imetaka kurudishwa dawa aina ya antifungal zilizo katika muundo wa vidonge zinazotumika kutibu matatizo ya fungus (Kuvu) zinazozalishwa nchini Kenya kutokana na masuala ya usalama.
-
Raila Odinga kuanzisha tena vuguvugu la maandamano dhidi ya sera ya ushuru wa Rais Ruto wa Kenya
Dec 31, 2023 05:21Kiongozi wa kambi ya upinzani nchini Kenya, Raila Odinga, amesema kwamba katika mwaka mpya ataanzisha vuguvugu wa kuwahamasisha Wakenya kupinga ubadhirifu wa serikali ikiwa ni pamoja na kutoza ushuru mkubwa kuzuia fedha za elimu bila malipo na ufisadi.
-
Jumanne, Disemba 12, 2023
Dec 11, 2023 23:32Leo ni Jumanne tarehe 28 Mfunguo Nane Jumadil Awwal 1445 Hijria inayosadifiana na tarehe 12 Disemba 2023.
-
Rais Ruto: Kenya imeweka mikakati ya kukabiliana na athari za mafuriko
Nov 25, 2023 10:06Rais William Ruto wa Kenya amesema serikali yake imeweka mipango ya kuwasaidia raia ambao wameathirika na mafuriko yanayoendelea kuripotiwa kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha kwenye kanda ya Afrika Mashariki.
-
Maonyesho ya picha yafanyika Nairobi, Kenya kwa lengo la kuwaunga mkono watu wa Gaza
Nov 21, 2023 09:22Waislamu na watetezi wa Palestina nchini Kenya wamefanya maonyesho ya picha na michoro inayoakisi matukio ya vita vya Gaza ili kuonyesha mshikamano na namna wanavyoumizwa na hali ya wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina.
-
Bunge la Kenya laidhinisha mpango wa nchi hiyo kutuma vikosi vya polisi Haiti
Nov 16, 2023 09:19Bunge la Kenya leo Alhamisi limeidhinisha kutumwa kwa maafisa wa polisi elfu moja katika nchi ya Haiti iliyotumbukia katika machafuko na ghasia za magenge yenye silaha.