-
Kenya yajadili njia za kupambana na hujuma ya silaha za kibaiolojia
Jan 17, 2018 00:49Kenya inapanga mkakati wa kukabiliana na hatari ya silaha za kibiolojia kupitia uwekezaji katika miradi inayolenga kuimarisha hatua za usalama wa kibaiolojia nchini humo.
-
Wakenya walalamikia ongezeko la ughali wa maisha baada ya kupandishwa bei ya mafuta
Jan 16, 2018 05:20Raia wa Kenya wamelalamika ongezeko kubwa la ughali wa maisha nchini mwao kufuatia kupanda kwa bei ya mafuta.
-
Jaji Mkuu Kenya: Inasikitisha kuona masikini ndio wanaohukumiwa zaidi jela kuliko matajiri
Jan 16, 2018 01:09Jaji Mkuu nchini Kenya David Maraga, ameonyesha masikitiko yake kwa kile alichosema kuwa, masikini ndio wanaokamatwa na kutupwa jela kulikoni matajiri.
-
Wakenya wamlaani vikali Rais Trump wa Marekani kwa kuzitaja nchi za Afrika kuwa 'chafu'
Jan 14, 2018 12:26Wananchi wa matabaka mbali mbali nchini Kenya wamemlaani vikali rais wa Marekani, Donald Trump ambaye ametoa matusi na matamshi ya kibaguzi kuhusu nchi za Afrika.
-
EU: Uchaguzi wa Kenya ulizungukwa na ufisadi na vitisho
Jan 10, 2018 12:43Mkuu wa timu ya waangalizi wa Umoja wa Ulaya katika uchaguzi mkuu wa mwezi Agosti na Oktoba mwaka uliomalizika 2017 nchini Kenya amesema kampeni zilizotangulia zoezi hilo ziligubikwa na rushwa, utumiaji wa mali za umma na vitisho.
-
Watu 36 wafariki dunia katika ajali ya barabarani nchini Kenya
Dec 31, 2017 04:15Watu wasiopungua 36 wamefariki dunia kufuatia ajali mbaya ya barabarani baina ya lori na basi magharibi mwa Kenya katika barabara ya Nakuru-Eldoret.
-
EALA kuanza shughuli zake baada ya Kenya kuwateua wawakilishi wake
Dec 17, 2017 04:43Bunge la Afrika Mashariki EALA linatazamiwa kurejelea shughuli zake kuanzia kesho Jumatatu baada ya Kenya kuwateua wawakilishi wake katika chombo hicho cha kieneo.
-
HRW: Polisi wa Kenya waliwabaka wanawake wakati wa uchaguzi
Dec 14, 2017 12:23Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limesema makumi ya wanawake walibakwa na maafisa wa polisi wakati wa msimu wa uchaguzi mkuu mwaka huu nchini Kenya.
-
Jumanne tarehe 12 Disemba, 2017
Dec 11, 2017 23:04Leo ni Jumanne tarehe 23 Rabiul Awwal 1439 Hijria sawa na tarehe 12 Disemba, 2017.
-
Viongozi wa Kiislamu Kenya walaani hatua ya Trump dhidi ya Quds
Dec 08, 2017 23:24Viongozi wa Kiislamu nchini Kenya wamelaani uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuutangaza mji wa Baitul Muqaddas wa Palestina kuwa mji mkuu wa utawala pandikizi wa Israel.