-
Wachimba dhahabu Kenya wapoteza maisha baada ya mgodi kuporomoka
Sep 17, 2024 03:04Watu wasiopungua tisa wamepoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa wakati mgodi usio rasmi wa dhahabu ulipoporomoka na kuwaangukia wachimba dhahabu hao huko kaskazini mwa Kenya karibu na mpaka wa Ethiopia.
-
Kaimu Mkuu wa Polisi nchini Kenya ahukumiwa kifungo cha miezi sita jela
Sep 14, 2024 04:28Kaimu Mkuu wa Polisi nchini Kenya Ijumaa ya jana alihukumiwa kifungo cha miezi sita jela baada ya kukaidi mara kwa mara amri ya kutoa ushahidi kuhusu mahali walipo watu watatu ambao wametoweka baada ya kudaiwa kukamatwa na maafisa wa polisi.
-
Mshukiwa wa mauaji ya makumi ya wanawake Kenya atoroka gerezani
Aug 20, 2024 12:01Raia wa Kenya aliyekiri kuhusika na mauaji ya wanawake 42 ambao baadhi yao miili yao ilipatikana imetupwa katika eneo la kutupa taka jijini Nairobi, ametoroka gerezani.
-
Rais Ruto wa Kenya ateuwa wapinzani katika safu ya baraza lake la mawaziri
Jul 24, 2024 12:53Rais William Ruto wa Kenya amewateuwa katika baraza lakek jipya la mawaziri shakhsia wa upinzani huku akiwarejesha nyadhifani mawaziri kadhaa aliokuwa amewafuta kazi.
-
Ruto: Watu wasiofahamika wanaoibua ghasia wanatishia demokrasia ya Kenya
Jul 22, 2024 02:31Rais William Ruto wa Kenya amewatuhumu watu wasiojulikana wanaoibua machafuko kuwa wanatishia demkrasia ya nchi hiyo kufuatia maandamano yanayoikumba nchi hiyo.
-
Rais Ruto wa Kenya awarejesha mawaziri 6 wa zamani kati ya wateule 11, wengine kufuatia
Jul 19, 2024 15:03Rais William Ruto wa Kenya amerudisha mawaziri sita wa zamani kati ya 11 aliowateua kwenye Baraza lake jipya la Mawaziri.
-
Ruto: Wakfu wa US ndio unaochochea maandamano ya fujo Kenya
Jul 16, 2024 03:14Rais William Ruto wa Kenya ameujia juu Wakfu wa Ford wa Marekani, akiuhusisha na vurugu zilizoshuhudiwa nchini humo wakati wa maandamano ya kupinga Mswada wa Fedha wa 2024 na jinsi utawala wa Kenya Kwanza unaendesha serikali.
-
Atiwa mbaroni baada ya kukiri kuua wanawake 42 Kenya
Jul 15, 2024 11:44Polisi nchini Kenya imemkamata mshukiwa wa mauaji ya makumi ya wanawake viungani mwa mji mkuu, Nairobi.
-
Mashinikizo ya vijana yamlazimisha Ruto alivunje Baraza la Mawaziri
Jul 11, 2024 13:02Rais William Ruto wa Kenya ametangaza kulivunja Baraza la Mawaziri kutokana na mashinikizo na maandamano ya vijana wa kizazi cha Gen-Z. Kwa mujibu wa sheria za Kenya, Rais hana mamlaka ya kumfuta kazi Naibu wake.
-
Rais William Ruto atia saini muswada wa IEBC, mashinikizo ya Gen Z yaanza kuzaa matunda
Jul 09, 2024 11:00Rais William Ruto wa Kenya Jumanne ya leo ametia saini muswada uliorekebishwa wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka wa 2024 kuwa sheria.