Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • Wapalestina washiriki mkutano wa ustawi wa biashara wa mjini Nairobi

    Wapalestina washiriki mkutano wa ustawi wa biashara wa mjini Nairobi

    Jul 17, 2016 11:23

    Duru za Palestina zimetangaza kuwa, ujumbe wa kiuchumi wa Wapalestina unashiriki katika Mkutano wa 14 wa Biashara na Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNCTAD) unaofanyika mjini Nairobi Kenya.

  • Maafisa sita wa polisi Kenya wauawa katika hujuma ya kigaidi

    Maafisa sita wa polisi Kenya wauawa katika hujuma ya kigaidi

    Jul 14, 2016 03:22

    Maafisa wasiopungua sita wa polisi wanaripotiwa kuuawa nchini Kenya baada ya gaidi kushambulia kituo cha polisi katika eneo la Kapenguria katika kaunti ya Pokot Magharibi inayopakana na Uganda.

  • Uganda haitatuma UPDF S/Kusini huku KQ ikisimamisha safari za ndege Juba

    Uganda haitatuma UPDF S/Kusini huku KQ ikisimamisha safari za ndege Juba

    Jul 11, 2016 02:57

    Jeshi la Ulinzi la Uganda UPDF limesema halitatuma askari wake kwenda kudhibiti hali ya mambo nchini Sudan Kusini, muda mfupi baada ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuzitaka nchi za kanda ya Afrika Mashariki kuingilia kati na kusuluhisha mgogoro na mapigano mapya yaliyozuka nchini humo.

  • Viogozi wa Waislamu Kenya walalamikia safari ya Netanyahu

    Viogozi wa Waislamu Kenya walalamikia safari ya Netanyahu

    Jul 10, 2016 02:17

    Viongozi wa Waislamu nchini Kenya wamekosoa vikali uhusiano wa nchi yao na utawala wa Kizayuni wa Israel pamoja na ziara ya hivi karibuni ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala huo dhalimu katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.

  • Kenya yakanusha ripoti ya UN ya kuua raia 29 Somalia

    Kenya yakanusha ripoti ya UN ya kuua raia 29 Somalia

    Jul 08, 2016 23:51

    Kenya imekanusha vikali ripoti ya Umoja wa Mataifa inayodai kuwa Jeshi la Ulinzi la nchi hiyo KDF liliua raia wapatao 29 katika hujuma ya anga iliyolifanya baada ya wanamgambo wa al-Shabaab kuvamia kambi ya jeshi hilo katika eneo la El-Adde nchini Somalia Januari mwaka huu na kuua idadi kubwa ya askari wa Kenya waliokuwa chini ya kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM).

  • Katibu Mkuu wa Arab League alalamikia ziara ya Benjamin Netanyahu barani Afrika

    Katibu Mkuu wa Arab League alalamikia ziara ya Benjamin Netanyahu barani Afrika

    Jul 07, 2016 02:54

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) amesema kuwa, lengo la Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni la kutembelea nchi kadhaa za Afrika ni kujaribu kuitoa Israel katika dimbwi la kutengwa kimataifa.

  • Waislamu nchini Kenya wakosoa vikali uhusiano wa nchi yao na Israel

    Waislamu nchini Kenya wakosoa vikali uhusiano wa nchi yao na Israel

    Jul 06, 2016 23:52

    Viongozi wa Waislamu katika eneo la Pwani nchini Kenya wamekosoa vikali uhusiano wa nchi yao na utawala wa Kizayuni wa Israel pamoja na ziara ya hivi karibuni ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala huo dhalimu.

  • UN yalaani mauaji ya wakili wa haki za binadamu Kenya

    UN yalaani mauaji ya wakili wa haki za binadamu Kenya

    Jul 06, 2016 00:02

    Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imelaani vikali mauaji ya wakili wa haki za binadamu nchini Kenya Bwana Willie Kimani, mteja wake Josphat Mwenda, na dereva wao wa taxi Joseph Muiruri, yaliyofanyika Juni 23.

  • Wakenya wakerwa na safari ya Netanyahu nchini humo

    Wakenya wakerwa na safari ya Netanyahu nchini humo

    Jul 05, 2016 09:27

    Safari ya Benjami Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel imewakera wananchi wa wengi wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki na kulemaza shughuli za kila siku haswa wakazi wa mji mkuu, Nairobi.

  • Juhudi za Israel za kutaka kuwa na ushawishi barani Afrika

    Juhudi za Israel za kutaka kuwa na ushawishi barani Afrika

    Jul 05, 2016 03:21

    Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni jana usiku aliwasili Kenya katika ziara ya kiserikali.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS