-
Iran: Mafanikio yetu katika uga wa teknolojia ni pigo kwa maadui
Sep 15, 2024 07:29Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, hatua ya satelaiti ya utafiti ya Iran iliyopewa jina la "Chamran-1" kurushwa katika anga za mbali kwa mafanikio ni pigo kwa maadui wanaoliwekea taifa hili vikwazo visivyo na mantiki.
-
Umoja wa Ulaya kuwawekea vikwazo mawaziri wa Israel
Aug 30, 2024 02:40Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, Josep Borrell amewataka mawaziri wa mambo ya nje wa EU kuzingatia vikwazo dhidi ya mawaziri wa Israel.
-
Mahakama Iran: Sharti US iwape fidia wagonjwa wa kipepeo kutokana na vikwazo
Jul 12, 2024 03:04Mahakama moja nchini Iran imeiagiza Marekani kulipa takriban dola bilioni 7 kama fidia kwa waathiriwa wa ugonjwa wa ngozi wa Epidermolysis Bullosa (EB) nchini Iran.
-
Waziri: Uzalishaji wa gesi ya Iran umeongezeka licha ya vikwazo
Mar 03, 2024 04:39Waziri wa Mafuta wa Iran amesema uzalishaji wa gesi ya Jamhuri ya Kiislamu umeendelea kuongezeka siku baada ya siku, licha ya vikwazo vya Wamagharibi dhidi ya sekta ya nishati ya taifa hili.
-
Sudan Kusini: Madola makubwa yanatumia vikwazo kubinya nchi zinazoendelea
Mar 02, 2024 11:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan Kusini amesema moja ya changamoto kuu zinazozikabili nchi maskini za ulimwengu wa tatu ni vikwazo vya madola makubwa duniani dhidi yazo.
-
Jumuiya ya ECOWAS yaiondolea vikwazo Niger
Feb 25, 2024 09:51Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika ECOWAS imetangaza habari ya kuiondolea Niger vikwazo vya kiuchumi na kifedha.
-
"US inakiuka Hati ya UN kwa kutishia kuiwekea tena vikwazo Venezuela"
Feb 01, 2024 12:02Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa vikali hatua ya Marekani ya kutishia kuiwekea upya vikwazo sekta ya mafuta ya Venezuela na kusisitiza kuwa, kkitendo hicho kinakanyaga Hati ya Umoja wa Mataifa na sheria ya kimataifa.
-
Tehran yalaani vikwazo vya EU dhidi ya Wizara ya Ulinzi ya Iran
Dec 13, 2023 02:47Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imekosoa vikali hatua ya Umoja wa Ulaya ya kuiwekea vikwazo Wizara ya Ulinzi ya nchi hii kwa madai bandia kuwa Jamhuri ya Kiislamu imeipa Russia ndege zisizo na rubani (droni) eti kwa ajili ya kutumika vitani huko Ukraine.
-
Muda wa vikwazo kwa makombora ya balestiki ya Iran umemalizika
Oct 19, 2023 02:26Vikwazo kwa mradi wa makombora ya balestiki ya Iran vilivyokuwa vimewekwa na Umoja wa Ulaya vilifikia kikomo Jumatano ya jana Oktoba 18, chini ya Azimio Nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ambalo liliidhinisha mkataba wa nyuklia wa JCPOA wa mwaka 2015.
-
Iran: Tutajibu mapigo ya vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya
Sep 17, 2023 04:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itajibu mapigo kwa hatua ya kujikariri ya Umoja wa Ulaya na Uingereza ya kuendelea kulisakama taifa hili kwa vikwazo.