Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Larijani

  • Dakta Larijani: Kuna fursa nyingi za kushirikiana Iran na Uganda

    Dakta Larijani: Kuna fursa nyingi za kushirikiana Iran na Uganda

    Aug 04, 2017 15:06

    Spika wa Majlisi ya Ushauri wa Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, Iran na Uganda zina vyanzo vingi vya utajiri na kwamba, kuna fursa nyingi za kushirikiana Tehran na Kampala.

  • Iran: Yaishitaki Marekani kwa hatua yake ya kuiwekea vikwazo vipya Tehran

    Iran: Yaishitaki Marekani kwa hatua yake ya kuiwekea vikwazo vipya Tehran

    Aug 01, 2017 14:14

    Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran sambamba na kubainisha kwamba, ukiukaji wa makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kwa kifupi kama JCPOA uliofanywa na Marekani uko wazi, amesema kuwa Jamhuri ya Kiislam ya Iran imewasilisha mashitaka kwenda kwa baraza na kamisheni inayosimamia makubaliano hayo, kutokana na hatua ya Washington ya kuliwekea taifa hili vikwazo vipya.

  • Spika Larijani: Kuunga mkono mhimili wa muqawama ni jukumu la Kiislamu na kibinadamu

    Spika Larijani: Kuunga mkono mhimili wa muqawama ni jukumu la Kiislamu na kibinadamu

    Jul 27, 2017 03:22

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran haisiti hata kidogo kuunga mkono mhimili wa muqawama na kuwakandamiza magaidi na kwamba, inalitambua hilo kama jukumu la Kiislamu na kibinadamu.

  • Spika wa Bunge Iran: Jumuiya za kimataifa zikabiliane na uhalifu wa Israel

    Spika wa Bunge Iran: Jumuiya za kimataifa zikabiliane na uhalifu wa Israel

    Jul 25, 2017 02:28

    Spika wa Bunge la Iran amelaani ukatili unaoendelea kufanywa na utawala ghasibu wa Israel dhidi ya raia wa Palestina katika mji mtakatifu wa Quds na Msikiti wa al Aqsa na ametoa wito kwa jamii ya kimataifa kukabiliana ipasavyo na ukiukaji wa haki za binadamu unaofanywa na Israel.

  • Larijani: Wamarekani wanataka kuwafuta wapinzani wao kwa bwabwaja

    Larijani: Wamarekani wanataka kuwafuta wapinzani wao kwa bwabwaja

    Jun 30, 2017 03:46

    Spika wa Bunge la Iran amesema kuwa, Wamarekani wanatumia bwabwaja kama njia ya kutaka kuwafuta wapinzani wao.

  • Dakta Larijani: Israel ni mama wa ugaidi duniani

    Dakta Larijani: Israel ni mama wa ugaidi duniani

    Jun 24, 2017 03:40

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, katika kumbukumbu za karne za mwisho hakuna tukio baya kama la kuasisiwa utawala haramu wa Israel kwani kuanzishwa na kuundwa utawala huo kumepelekea kufanyika jinai ambazo hazijawahi kutokea katika historia.

  • Spika Larijani: Kugawanywa Iraq ndilo takwa la utawala wa Kizayuni wa Israel

    Spika Larijani: Kugawanywa Iraq ndilo takwa la utawala wa Kizayuni wa Israel

    Jun 21, 2017 13:57

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya kudumishwa umoja wa Iraq na kubainisha kwamba, kugawanywa nchi hiyo ya Kiarabu ndilo takwa hasa la utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Larijani: Hatua zote za Saudia ni kwa maslahi na manufaa ya Israel

    Larijani: Hatua zote za Saudia ni kwa maslahi na manufaa ya Israel

    Jun 20, 2017 07:55

    Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ameukosoa vikali utawala wa Aal-Saud kwa kushirikiana kufa kupona na utawala wa Kizayuni wa Israel na kubainisha kuwa, hatua zote za Riyadh katika eneo hili ni kwa maslahi na manufaa ya Tel Aviv.

  • Mohammadi-Golpayegani: Maadui hawawezi kulikatisha tamaa taifa la Iran kwa kufanya mauaji

    Mohammadi-Golpayegani: Maadui hawawezi kulikatisha tamaa taifa la Iran kwa kufanya mauaji

    Jun 09, 2017 15:25

    Mkuu wa ofisi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, hatua ya maadui ya kufanya mauaji katu haiwezi kulikatisha tamaa taifa la Iran.

  • Spika wa Bunge la Iran: Utambulisho wa Israel ni tishio kwa mataifa yote

    Spika wa Bunge la Iran: Utambulisho wa Israel ni tishio kwa mataifa yote

    May 30, 2017 04:30

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, utambulishi wa uvamizi na ubaguzi wa utawala haramu wa Israel ni tishio kwa mataifa yote ya Mashariki ya Kati na jamii nzima ya mwanadamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS