-
Dakta Larijani: Uungaji mkono kwa magaidi unafanyika kutelekeza malengo ya Israel
Jan 04, 2017 04:14Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, himaya na uungaji mkono wa baadhi ya nchi za Mashariki ya Kati kwa magaidiunafanyika kwa ajili ya kutekeleza malengo ya utawala haramu wa Israel.
-
Ayatullah Amoli Larijani: Iran haitishiki na vitisho vya aina yoyote
Dec 30, 2016 04:49Mkuu wa Vyombo vya Mahakama nchini Iran amesema kuwa, vitisho havina athari yoyote ile kwa moyo wa kijihadi wa taifa la Iran.
-
Mkutano wa usalama waanza mjini Tehran
Dec 11, 2016 08:05Mkutano wa kwanza wa usalama umeanza kufanyika leo hapa mjini Tehran ukiwa na ajenda ya "usalama wa kieneo magharibi mwa Asia.
-
Larijani: Uhusiano wa Iran na Russia unaridhisha mno
Nov 14, 2016 07:59Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema uhusiano wa pande mbili kati ya Jamhuri ya Kiislamu na Russia ni wa kuridhisha mno.
-
Spika wa Bunge la Iran asisitiza kustawishwa uhusiano na nchi za Kiislamu
Nov 14, 2016 04:08Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema Iran inachukua hatua kwa lengo la kustawisha uhusiano wa pande zote na nchi za Kiislamu na za Kiarabu
-
Larijani: Marekani inachochea ugaidi kupitia vita
Oct 18, 2016 07:01Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran amesema Marekani inachochea ugaidi katika eneo hili la Mashariki ya Kati na duniani kote kwa ujumla kwa kutumia anga ya vita na mapigano.
-
Rais Rouhani na Spika Larijani wapongeza jitihada za Wizara ya Intelijinsia
Aug 18, 2016 14:07Rais wa Iran na Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran yaani bunge wamepongeza juhudi za pamoja za Wizara ya Intelijinsia katika kulinda amani na uthabiti na kukabiliana na vitisho.
-
Ali Larijani: Maadui wanafanya njama za kuzusha mifarakano
Jul 23, 2016 04:17Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, katika mazingira ya hivi sasa katika Mashariki ya Kati kuna baadhi ya nchi ambazo mbali na kufanya uadui zinafanya kila ziwezalo kuzusha mifarakano katika eneo hili.
-
Larijani asisitiza kuendelezwa ushirikiano wa kistratejia kati ya Iran na Syria
Jun 08, 2016 14:18Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amemtumia ujumbe wa pongezi Bi Hadiyeh Khalaf al Abbas Spika Mpya wa kwanza mwanamke wa bunge la Syria na kueleza kuwa stratejia ya Iran ni kushirikiana pande zote na serikali na wananchi wa Syria ili kurejesha amani na uthabiti nchini humo.
-
Larijani: Kuunga mkono magaidi ni kwa maslahi ya Wazayuni
May 12, 2016 07:20Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran amezikosoa baadhi ya nchi katika eneo hili la Mashariki ya Kati kwa kuyaunga mkono makundi ya kigaidi na kusisitiza kuwa kuungwa mkono ugaidi ni kwa maslahi ya Wazayuni.