Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Lebanon

  • Saad al Hariri akabidhiwa jukumu la kuunda serikali mpya ya Lebanon

    Saad al Hariri akabidhiwa jukumu la kuunda serikali mpya ya Lebanon

    May 24, 2018 09:55

    Saad al Hariri, Waziri Mkuu wa sasa wa Lebanon, ameteuliwa kuunda serikali mpya baada ya kujipatia kura nyingi za wabunge wa bunge la nchi hiyo.

  • Alkhamisi, Mei 24, 2018

    Alkhamisi, Mei 24, 2018

    May 23, 2018 23:38

    Leo ni Alhamisi tarehe nane Ramadhan mwaka 1439 Hijiria, inayosadifiana na tarehe 24 Mei mwaka 2018 Miladia.

  • Uchaguzi wa Bunge Lebanon ulikuwa ni 'La' kwa Marekani na utawala wa Kizayuni

    Uchaguzi wa Bunge Lebanon ulikuwa ni 'La' kwa Marekani na utawala wa Kizayuni

    May 08, 2018 03:14

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, ametuma salamu za pongezi kufuatia ushindi wa mrengo wa Muqawama katika Uchaguzi wa Bunge nchini Lebnaon jana na kusema, 'uchaugzi huu ulikuwa ni 'La' ya watu wa Lebanon kwa Marekani na Utawala wa Kizayuni.'

  • Nabih Berri: Umoja wa Kitaifa ndiyo matunda halisi ya uchaguzi wa bunge Lebanon

    Nabih Berri: Umoja wa Kitaifa ndiyo matunda halisi ya uchaguzi wa bunge Lebanon

    May 07, 2018 10:51

    Spika wa Bunge la Lebanon amesisitiza baada ya kutangazwa matokeo ya awali ya uchaguzi wa bunge nchini humo kwamba: Umoja wa kitaifa ndiyo matunda na mafaniko halisi ya uchaguzi wa bunge; ambayo yamepatikana kufuatia sheria mpya ya uchaguzi.

  • Nabih Berri atahadharisha kuhusu Israel kuishambulia Lebanon

    Nabih Berri atahadharisha kuhusu Israel kuishambulia Lebanon

    Apr 29, 2018 10:39

    Spika wa Bunge la Lebanon ametahadharisha kwamba, utawala haramu wa Israel umeajiandaa kuishambulia kijeshi nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Ripoti: Mohammad Bin Salman anapanga kuhamisha vita kutoka Yemen kwenda Lebanon

    Ripoti: Mohammad Bin Salman anapanga kuhamisha vita kutoka Yemen kwenda Lebanon

    Apr 27, 2018 23:27

    Gazeti la Lebanon la Al Akhbar Mail limenukuu ujumbe wa mtandaoni wa balozi wa Imarati mjini Washington, Marekani ambao umeonyesha uwepo wa njama kubwa za Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia za kuhamisha vya Yemen kwenda nchini Lebanon.

  • Hizbullah: Mashambulizi ya Israel Syria yatawasha moto katika eneo zima

    Hizbullah: Mashambulizi ya Israel Syria yatawasha moto katika eneo zima

    Apr 24, 2018 03:18

    Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon sambamba na kuielezea kuwa nyeti hali ya hivi sasa katika eneo la Mashariki ya Kati amesema kuwa, kuendelea mashambulizi ya Israel dhidi ya Syria si tu kwamba kunahatarisha usalama wa nchi hiyo, bali kuna hatari yatazusha mgogoro katika eneo zima.

  • Mtazamo wa Hassan Nasrullah kuhusiana na uchaguzi wa bunge nchini Lebanon

    Mtazamo wa Hassan Nasrullah kuhusiana na uchaguzi wa bunge nchini Lebanon

    Apr 11, 2018 02:52

    Jumapili iliyopita Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya nchini Lebanon alihutubia eneo la Nabatieh kusini mwa Lebanon ambapo alibainisha maoni yake kuhusiana na uchaguzi ujao wa bunge nchini humo.

  • Israel yaanza tena kujenga ukuta wa kibaguzi katika mpaka wa Lebanon

    Israel yaanza tena kujenga ukuta wa kibaguzi katika mpaka wa Lebanon

    Apr 09, 2018 02:27

    Utawala wa Kizayuni jana Jumapili ulianza tena kujenga ukuta wake wa kibaguzi kati ya mpaka wa Palestina inayokaliwa kwa mabavu na Lebanon.

  • Hizbullah: Matukio ya Ghaza yamethibitisha kwamba matukufu ya Palestina bado yanaenziwa

    Hizbullah: Matukio ya Ghaza yamethibitisha kwamba matukufu ya Palestina bado yanaenziwa

    Mar 31, 2018 03:17

    Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon imetoa taarifa kufuatia maandamano makubwa ya Ijumaa ya jana mjini Ghaza Palestina na kusema kuwa, matukio hayo yamethibitisha kwamba matukufu ya Palestina bado yanaendelea kuenziwa na kwamba Wapalestina wako tayari kujitolea kila kitu chao katika njia ya ukombozi wa ardhi zao.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS