Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Lebanon

  • Seneta wa Nigeria: Jinai za Israel Gaza, Lebanon zinaonyesha UN haina maana

    Seneta wa Nigeria: Jinai za Israel Gaza, Lebanon zinaonyesha UN haina maana

    Sep 26, 2024 23:35

    Mwanasiasa wa ngazi ya juu wa Nigeria amesema kuwa, mauaji ya kimbari ya Israel dhidi ya raia wa Palestina katika Ukanda wa Gaza na huko Beirut, mji mkuu wa Lebanon yameonyesha kushindwa kwa dunia kushughulikia suala la Palestina, na pia imeonyesha namna Umoja wa Mataifa ulivyo butu kwa kushindwa kukomesha ukatili na unyama wa Israel.

  • Israel yaua watu wengine 72 na kujeruhi 400 Lebanon, Hizbullah yajibu mapigo kwa makombora

    Israel yaua watu wengine 72 na kujeruhi 400 Lebanon, Hizbullah yajibu mapigo kwa makombora

    Sep 26, 2024 03:17

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umewaua shahidi watu wasiopungua 72 na kuwajeruhi wengine 400 nchini Lebanon katika siku ya tatu mtawalia ya mashambulizi ya kiwendawazimu unayofanya katika ardhi ya nchi hiyo sambamba na makabiliano yanayoendelea baina yake na harakati ya Muqawama ya Hizbullah.

  • Tuhuma na misimamo ya kurudiwarudiwa ya Marekani kwa ulimi wa Joe Biden katika Umoja wa Mataifa

    Tuhuma na misimamo ya kurudiwarudiwa ya Marekani kwa ulimi wa Joe Biden katika Umoja wa Mataifa

    Sep 26, 2024 00:28

    Jumanne ya wiki hii, rais wa Marekani, Joe Biden, alitoa hotuba yake ya mwisho katika kikao cha 79 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York na kukariri madai ya uongo ya siku zote dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na dhidi ya kambi ya Muqawama. Rais wa Marekani alidai kuwa eti serikali yake inapigania kuleta amani na utulivu katika ukanda wa Asia Magharibi.

  • Duru mpya ya mashambulizi ya Wazayuni dhidi ya Lebanon

    Duru mpya ya mashambulizi ya Wazayuni dhidi ya Lebanon

    Sep 25, 2024 04:24

    Jeshi la utawala katili wa Israel limeendeleza jinai zake kwa shambulia kwa mabomu maeneo ya raia mashariki mwa Lebanon.

  • Rais Pezeshkian: Umwagaji damu za maelfu ya watu wasio na hatia Lebanon hautabaki bila majibu

    Rais Pezeshkian: Umwagaji damu za maelfu ya watu wasio na hatia Lebanon hautabaki bila majibu

    Sep 25, 2024 00:07

    Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, jinai za kiholela na za kigaidi zilizofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika siku zilizopita na uchokozi wake mkubwa dhidi ya Lebanon ambao umemwaga damu za maelfu ya watu wasio na hatia hautabaki bila majibu.

  • Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu ataka kusitishwa mauaji ya halaiki ya utawala wa Kizayuni

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu ataka kusitishwa mauaji ya halaiki ya utawala wa Kizayuni

    Sep 24, 2024 23:03

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu amelaani jinai za hivi karibuni za utawala wa Kizayuni huko Lebanon na kutaka kuwepo na uungaji mkono wa nchi za Kiislamu na serikali zinazotetea amani na usalama duniani kwa ajili ya kusitisha mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel.

  • Ayatullah Sistani: Ichukuliwe hatua haraka kukomesha uchokozi wa Israel dhidi ya Lebanon

    Ayatullah Sistani: Ichukuliwe hatua haraka kukomesha uchokozi wa Israel dhidi ya Lebanon

    Sep 24, 2024 07:41

    Kiongozi wa juu wa kidini na Marjaa-Taqlidi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq Ayatullah Ali al-Sistani ameelezea mshikamano wake na Lebanon wakati nchi hiyo ya Kiarabu na Kiislamu inaendelea kuandamwa na mashambulio ya kinyama ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel na ametaka zifanyike juhudi za dharura kusitisha uchokozi huo wa kikatili wa utawala huo na kuwalinda raia wa Lebanon.

  • Profesa Fraihat: Vita vya Lebanon ni vya tatu vinavyofadhiliwa na serikali ya Biden

    Profesa Fraihat: Vita vya Lebanon ni vya tatu vinavyofadhiliwa na serikali ya Biden

    Sep 24, 2024 07:36

    Ibrahim Fraihat, Profesa wa Taaluma ya Usuluhishi wa Mizozo ya Kimataifa katika Taasisi ya Doha ya Mafunzo ya Wahitimu, amesema kupanuka kwa vita vilivyoanzishwa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ukanda wa Ghaza hadi Lebanon kulitarajiwa, lakini kile ambacho hakikutarajiwa ni idadi kubwa ya vifo ndani ya muda wa siku moja.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza: Vita vya Ukraine vinaweza vikavuka mwaka 2026

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza: Vita vya Ukraine vinaweza vikavuka mwaka 2026

    Sep 24, 2024 07:32

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, David Lammy ametabiri kuwa mapigano kati ya Russia na Ukraine huenda yakaendelea kwa angalau miaka miwili zaidi na kuvuka mwaka 2026.

  • Nabih Berri atahadharisha kuhusu hulka ya kupenda vita ya utawala wa Kizayuni katika eneo

    Nabih Berri atahadharisha kuhusu hulka ya kupenda vita ya utawala wa Kizayuni katika eneo

    Sep 23, 2024 08:32

    Spika wa bunge la Lebanon ameashiria kuendelea mashambulizi ya utawala wa Kizayuni nchini humo na kusema, Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala huo anafanya kila awezalo ili kuitumbukiza Lebanon na eneo hili katika vita vikubwa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS