-
Hofu ya Haftar kuuhujumu na kuuteka mji mkuu wa Libya, Tripoli
Mar 09, 2019 14:57Wakaazi wa mji mkuu wa Libya, Tripoli wana hofu kubwa kuwa mji huo utahujumiwa na hatimaye kutekwa na askari kutoka eneo la mashariki mwa nchi hiyo wanaaongozwa na Jenerali Khalifa Haftar.
-
Serikali ya Tobruk, Libya yatoa hukumu ya kuachiwa huru wapambe wa Gaddafi
Mar 08, 2019 11:35Serikali ya Libya yenye makao yake makuu katika mji wa Tobruk imetoa amri ya kuachiwa huru baadhi ya wanasiasa mashuhuri wa serikali ya dikteta wa zamani wa nchi hiyo, Kanali Mumammar Gaddafi.
-
Mkuu wa Baraza Kuu la Libya atembelea Qatar wakati huu wa kuongezeka ushindani kati ya nchi za Kiarabu
Mar 03, 2019 15:37Mkuu wa Baraza Kuu la Libya amefanya safari rasmi ya kuitembelea nchi ndogo ya Qatar katika wakati huu ambapo nchi hiyo imezingirwa kila upande na nchi nne za Kiarabu za Saudi Arabia, Imarati, Bahrain na Misri.
-
Jenerali Haftar afikia mapatano na serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya
Feb 28, 2019 15:49Ujumbe wa wawakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa wanaohusika na masuala ya Libya umetangaza kuwa, Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya na kamanda wa Jeshi la Taifa la nchi hiyo wamefikia makubaliano juu ya kuitisha uchaguzi.
-
AU, UN kuandaa kongamano la maelewano Libya
Feb 12, 2019 14:11Kamishna wa Amani na Usalama katika Umoja wa Afrika Smail Chergui amesema wameafikiana na Umoja wa Mataifa kuhusu kuandaa kongamano la maelewano ya kitaifa nchini Libya.
-
Jeshi la Taifa Libya ladhibiti medani kubwa zaidi ya mafuta nchini humo
Feb 12, 2019 07:57Jeshi la Taifa la Libya linaloongozwa na Jenerali Khalifa Haftar limedhibiti kikamilifu medani na kisima kikubwa zaidi cha mafuta cha nchi hiyo.
-
Jenerali Haftar atangaza marufuku ya kuruka ndege kusini mwa Libya
Feb 09, 2019 16:01Jeshi la Taifa la Libya linaloongozwa na Jenerali Khalifa Haftar limetangaza kuwa ni marufuku kuruka ndege katika anga ya kusini mwa nchi hiyo.
-
Nchi tatu za Afrika zataka Russia iwepo kijeshi katika ardhi zao
Feb 06, 2019 02:46Libya, Sudan na Misri, nchi tatu za Kiarabu za bara la Afrika zimetangaza utayari wa kuwapokea askari wa Russia au kuiruhusu nchi hiyo ianzishe kituo cha kijeshi katika ardhi zao.
-
UN: Wakimbizi elfu nne wameondolewa Libya
Feb 05, 2019 03:45Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limeripoti kuwa tangu mwanzoni mwaka mwaka jana wa 2018 hadi sasa zaidi ya wakimbizi 4000 wameondolewa huko Libya.
-
Mkutano wa kujadili mchakato wa uchaguzi wa Libya huenda ukacheleweshwa
Feb 01, 2019 02:43Umoja wa Mataifa huenda ukasogeza mbele tarehe ya mkutano wa kuratibu uchaguzu mkuu wa Libya uliopangwa kufanyika mwaka huu hadi viongozi wa mirengo hasimu ya nchi hiyo watakapotoa msukumo na uungaji mkono zaidi kwa mchakato huo.