Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Jeshi la Libya latangaza kukomboa kikamilifu mji wa Derna

    Jeshi la Libya latangaza kukomboa kikamilifu mji wa Derna

    Jun 29, 2018 07:22

    Vikosi vya Jeshi la Taifa la Libya vinavyoongozwa na Jenerali Khalifa Haftar vimetangaza kuwa vimeshafanikiwa kukomboa kikamilifu mji wa Derna ulioko mashariki mwa nchi hiyo.

  • UNHCR: Misaada itolewe kwa ajili ya kuimarisha amani Libya, Mali na Niger

    UNHCR: Misaada itolewe kwa ajili ya kuimarisha amani Libya, Mali na Niger

    Jun 26, 2018 14:41

    Mkuu wa Kamisheni Kuu ya Wakimbizi ya Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kutolewa misaada ya kifedha kwa ajili ya kuimarisha amani katika nchi za Mali, Niger na Libya.

  • Karibu wahajiri elfu moja wazuiwa kusafiri katika fukwe za Libya

    Karibu wahajiri elfu moja wazuiwa kusafiri katika fukwe za Libya

    Jun 25, 2018 14:37

    Karibu wahajiri elfu moja waliokuwa mbioni kupanda mitumbwi kuelekea barani Ulaya kupitia bahari ya Mediterranean wamezuia kusafiri katika kipindi cha masaa 24 yaliyopita kwenye fukwe za Libya.

  • Libya yafurahishwa na uamuzi wa kuanzishwa tena safari za ndege baina yake na Syria

    Libya yafurahishwa na uamuzi wa kuanzishwa tena safari za ndege baina yake na Syria

    Jun 24, 2018 15:11

    Waziri wa Uchumi na Viwanda wa Libya amepongeza uamuzi uliotangazwa na Waziri wa Usafiri na Uchukuzi wa Syria kuhusu kuanzishwa tena safari za ndege baina ya nchi hizo mbili.

  • Mapigano yaripotiwa kuendelea kwenye Hilali ya Mafuta, Libya

    Mapigano yaripotiwa kuendelea kwenye Hilali ya Mafuta, Libya

    Jun 22, 2018 03:45

    Msemaji wa Jeshi la Libya amesema kuwa mapigano bado yanaendelea kati ya jeshi hilo la makundi ya waasi katika eneo linalojulikana kama Hilali ya Mafuta nchini humo.

  • Wahajiri haramu 191 waokolewa katika pwani za Libya

    Wahajiri haramu 191 waokolewa katika pwani za Libya

    Jun 19, 2018 07:36

    Askari wa gadi ya pwani ya Libya wamewaokoa wahajiri haramu 191 katika pwani za nchi hiyo.

  • Dereva wa Bin Laden atiwa mbaroni nchini Libya

    Dereva wa Bin Laden atiwa mbaroni nchini Libya

    Jun 18, 2018 07:34

    Dereva wa aliyekuwa kiongozi wa mtandao wa al Qaida, Usama bin Laden ametiwa mbaroni katika mji wa Derna wa mashariki mwa Libya.

  • Mufti Mkuu wa Libya aishambulia Imarati kwa kuchochea machafuko nchini mwake

    Mufti Mkuu wa Libya aishambulia Imarati kwa kuchochea machafuko nchini mwake

    Jun 16, 2018 04:04

    Mufti Mkuu wa Libya, Sheikh Sadiq al Ghariani ameushambulia vikali Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kwa kueneza fitna na kuchochea chuki na uhasama katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.

  • Wanamgambo washambulia taasisi za mafuta mashariki mwa Libya

    Wanamgambo washambulia taasisi za mafuta mashariki mwa Libya

    Jun 14, 2018 14:56

    Afisa mmoja wa jeshi la Libya amesema, wanamgambo wenye silaha wameshambulia taasisi za mafuta zilizoko chini ya Jenerali Khalifa Haftar mashariki mwa nchi hiyo na kuchoma moto kwa uchache tangi moja la mafuta.

  • Serikali ya Libya yapendekeza mpango wa kuharakisha utatuzi wa mgogoro wa nchi hiyo

    Serikali ya Libya yapendekeza mpango wa kuharakisha utatuzi wa mgogoro wa nchi hiyo

    Jun 11, 2018 02:41

    Mjumbe wa Baraza Kuu la serikali ya Libya ametangaza kuwa serikali hiyo imewasilisha mpango maalumu kwenye Baraza la Wawakilishi la Tobruk kwa ajili ya kutatua mgogoro wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS