-
UNHCR: Libya, imekuwa njia ya mauati ya maelfu ya wahajiri wanaotaka kuelekea Ulaya
Jul 04, 2017 12:35Kamisheni Kuu ya Wakimbizi ya Umoja wa Mataif (UNHCR) imetangaza kuwa, Libya ndiyo njia inayosababisha mauti na vifo vingi zaidi vya wakimbizi wanaotaka kuelekea Ulaya kupitia Bahari ya Mediterania.
-
Baraza la Usalama la UN larefusha vikwazo dhidi ya Libya
Jun 30, 2017 07:46Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limerefusha vikwazo dhidi ya Libya.
-
Maelfu ya wapiganaji wa Kiafrika wapo Libya
Jun 29, 2017 04:12Taasisi ya Kuchunguza Silaha Nyepesi yenye makao yake mjini Geneva Uswisi imesisitiza kuwa maelfu ya wapiganaji wa Kiafrika wanapigana bega kwa bega na makundi mbalimbali yenye silaha nchini Libya.
-
Libya yaitaka Saudi Arabia ieleze kwa nini imewatia mbaroni raia wake
Jun 28, 2017 15:23Serikali ya Libya imedhihirisha kukasirishwa kwake na kitendo cha Saudi Arabia cha kuwakamata raia wa nchi hiyo walipokuwa wanajiandaa kurejea nyumbani na kuitaka Riyadh itoe maelezo kuhusiana na sababu za kuwatia mbaroni raia hao wa Libya.
-
Algeria: Tutatoa ushirikiano wowote kusaidia kutekelezwa makubaliano ya kisiasa Libya
Jun 26, 2017 04:16Serikali ya Algeria imeuhakikishia Umoja wa Mataifa kufanya juhudi zozote zinazohitajika kwa ajili ya kufanikisha utekelezwaji wa makubaliano ya kisiasa nchini Libya.
-
Waziri wa zamani wa Lebanon, mjumbe mpya wa UN nchini Libya
Jun 22, 2017 08:00Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limemuidhinisha Ghassan Salame, raia wa Lebanon kuwa mjumbe maalumu wa umoja huo katika masuala ya Libya.
-
UN yateua mjumbe mpya nchini Libya
Jun 18, 2017 03:52Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ameteua mjumbe wake mpya wa kufuatilia masuala ya Libya.
-
Uganda yakosolewa kutuma wafanyakazi 1,000 wa afya Libya
Jun 17, 2017 07:17Uganda imetangaza mpango wa kutuma wafanyakazi 1,000 wa sekta ya afya kuhudumu Libya, mpango ambao umekosolewa vikali na wanaharakati wa sekta ya afya.
-
Mamia ya Wahamiaji wanyanyaswa na kushikiliwa bila ridhaa yao Libya
Jun 15, 2017 07:21Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji IOM limebainisha wasi wasi kuhusu hali ya takribani wakimbizi na wahamiaji 260 wa Somalia na Ethiopia wakiwemo watoto wanaoshikiliwa na wasafirishaji haramu wa binadamu au magenge ya wahalifu nchini Libya bila ridhaa yao.
-
Bunge la Libya latahadharisha kuachiwa huru bila ya masharti viongozi wa utawala wa zamani
Jun 13, 2017 02:27Bunge la Libya limetahadharisha kuhusu kuachiwa huru bila ya masharti viongozi wa utawala wa zamani wa nchi hiyo.