-
Safari ya Waziri Mkuu wa Libya nchini Sudan yaakhirishwa
Mar 15, 2017 13:00Ziara ya Waziri Mkuu wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya nchini Sudan imeakhirishwa kutokana na matukio ya kiusalama nchini humo.
-
Russia yamuunga mkono kamanda wa jeshi la Libya
Mar 14, 2017 04:33Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia na Kamanda wa jeshi la taifa la Libya wamefanya mazungumzo kuhusu kuendeleza ushirikiano wa kijeshi kati ya pande mbili.
-
Jeshi la Libya lashambulia maeneo ya al Qaida
Mar 13, 2017 03:37Jeshi la Libya limefanya mashambulizi ya anga dhidi ya maeneo ya kundi la kigaidi la al Qaida katika eneo lenye mafuta mengi linalojulikana kwa jina la "Hilali ya Mafuta" kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Kuna uwezekano mwana wa Gaddafi kurejea madarakani nchini Libya
Mar 09, 2017 00:38Gazeti la Ra'ayul-Yaum linalochapishwa mjini London, Uingereza limeandika kuwa kuna uwezekano Saiful-Islam Gaddafi, mwana wa kiume wa aliyekuwa dikteta wa Libya Muammar Gaddafi akarejea madarakani nchini humo.
-
Mgogoro wa kisiasa Libya na kufutwa makubaliano ya Skhirat
Mar 08, 2017 09:53Mgogoro wa kisiasa umechukua sura mpya nchini Libya baada ya bunge la nchi hiyo kubatilisha makubaliano ya Skhirat yaliyounda Baraza la Uongozi pamoja na Serikali ya Umoja wa Kitaifa inayoongozwa na Fayez Sarraj.
-
Shambulio la kundi la kigaidi kwenye vituo vya mafuta nchini Libya
Mar 05, 2017 08:44Sambamba na kuendelea migogoro ya kisiasa na kutokuwepo usalama nchini Libya, kwa mara nyingine kundi moja la wabeba silaha limeweza kudhibiti kituo cha mafuta katika eneo linalojulikana kwa jina maarufu la 'Hilali ya Mafuta' kaskazini mashariki mwa Libya.
-
Wahajiri wa Kiafrika wazidi kufa maji wakielea Ulaya
Mar 04, 2017 03:51Makumi ya wahajiri wa Kiafrika wanahofiwa kufa maji katika Bahari ya Mediterranean wakijaribu kuelekea barani Ulaya.
-
UN yatahadharisha kuhusu hali ya wakimbizi wanawake na watoto nchini Libya
Feb 28, 2017 12:45Umoja wa Mataifa umeeleza wasiwasi wake kuhusu hali mbaya ya wakimbizi wanawake na watoto katika kambi za wakimbizi zilizoko nchini Libya.
-
Watu kadhaa wauawa katika mripuko wa bomu Libya
Feb 26, 2017 12:45Gari lililokuwa limetegwa bomu limeripuka katika mji wa Benghazi wa mashariki mwa Libya na kuua na kujeruhi watu kadhaa.
-
Makubaliano ya kusitisha mapigano yafikiwa nchini Libya
Feb 25, 2017 10:42Baraza la Uongozi la Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya limetangaza kuwa, kumefikiwa makubaliano ya kusitisha mapigano katika mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli.