-
Machafuko yachachamaa katika visiwa vya Comoro, kadhaa wauawa
Oct 18, 2018 14:43Hali ya mchafukoge imeripotiwa kushtadi nchini Comoro huku watu kadhaa wakiripotiwa kuuawa, licha ya serikali kutangaza kuwa mambo yametengamaa baada ya siku tatu za ghasia.
-
Waafrika Kusini waandamana kupinga ukosefu wa amani
Oct 02, 2018 03:12Maandamano yaliyofanywa na wakazi wa jiji la Johannesburg nchini Afrika Kusini kulalamikia hali mbaya ya ukosefu wa usalama yamegeuka na kuwa ghasia na machafuko makubwa.
-
Hashdu Sha'abi: Marekani ndio inayochochea ghasia Basra, Iraq
Sep 09, 2018 07:12Kamanda wa ngazi za juu wa kikosi cha kujitolea cha wananchi nchini Iraq cha Hashdu Sha'abi amesema harkati hiyo ya wananchi tayari imewakabidhi maafisa wa serikali ya Baghdad ushahidi unaoonesha kuwa ubalozi mdogo wa Marekani mjini Basra ndio uliohusika katika kuratibu na kuchochea machafuko yanayoendelea kushuhudiwa hivi sasa katika mkoa wa Basra, kusini mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Saudi Arabia yasimamisha kupitishia mafuta na meli zake Babul Mandab
Jul 26, 2018 11:15Waziri wa Nishati wa Saudi Arabia Khalid al Falih ametangaza kuwa usafirishaji mafuta wa nchi hiyo kupitia Lango Bahari la Babul Mandab unasimamishwa hadi hapo kutakapokuwa na hakikisho la usalama wa majini.
-
Mufti Mkuu wa Libya aishambulia Imarati kwa kuchochea machafuko nchini mwake
Jun 16, 2018 04:04Mufti Mkuu wa Libya, Sheikh Sadiq al Ghariani ameushambulia vikali Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kwa kueneza fitna na kuchochea chuki na uhasama katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Ufyatuaji risasi katika kituo cha gadi ya kitaifa ya Saudi Arabia
May 31, 2018 11:27Vyonzo vya habari vimetangaza kutokea ufyatuaji risasi katika mji wa Taif ulioko magharibi mwa Saudia Arabia. Ripoti zinasema kuwa watu wawili waliokuwa na silaha waliingia katika kituo cha gadi ya kitaifa kilichoko mjini hapo, baada ya kumshambulia askari usalama mmoja katika eneo hilo.
-
UN yatahadharisha kuhusu ukosefu wa amani Sudan Kusini
Jul 05, 2017 14:32Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini umetangaza kuwa nchini hiyo inasumbuliwa na hali hatari sana ya ukosefu wa amani.
-
Iran: Marekani, Israel na Uingereza haziutakii kheri umma wa Kiislamu
Apr 30, 2017 02:33Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kuwepo kijeshi Marekani na nchi za Magharibi katika eneo la Mashariki ya Kati kuna madhara makubwa kwa mataifa ya eneo hili kwani licha ya kuja na kaulimbiu ya kuimarisha usalama na amani, lakini madola hayo ya kibeberu ndiyo sababu kuu ya kutoweka amani na usalama katika eneo hili.
-
Huenda usajili wa wapiga kura DRC ukaakhirishwa, kisa machafuko
Mar 15, 2017 07:04Kanisa Katoliki na Tume ya Uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimetahadharisha kuwa, yumkini zoezi la kuwasajili wapiga kura likakosa kufanyika kutoka na kushtadi machafuko na mapigano nchini humo.
-
Mkapa azitaka pande husika Burundi kuheshimu mchakato wa amani
Dec 02, 2016 07:18Rais Mstaafu wa Tanzania ambaye pia ni mpatanishi wa mgogoro wa Burundi amezitaka pande husika katika nchi hiyo kushikamana na kuheshimu mchakato wa amani na hatua zilizopigwa za kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.