-
Salva Kiir awaonya wafanyao fujo Sudan Kusini
Oct 24, 2016 03:59Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amewaonya wafanyao fujo na wanaozusha machafuko ya kikabila nchini humo.
-
Kiongozi wa waasi Sudan Kusini aelekea Afrika Kusini
Oct 12, 2016 15:54Kiongozi wa waasi wa Sudan Kusini ambaye alikimbilia Khartoum baada ya mapigano makali yaliyotokea katika mji mkuu wa nchi hiyo Juba, Julai mwaka huu baina ya wafuasi wake na jeshi la serikali ya Rais Salva Kiir, ameondoka Sudan na kuelekea Afrika Kusini.
-
Mjumbe wa Machar: IGAD inachochea machafuko S/Kusini
Oct 04, 2016 08:06Mpambe wa karibu wa Riek Machar, makamu wa zamani wa rais wa Sudan Kusini ameielekezea kidole cha lawala Jumuiya ya Ushirikiano wa Kieneo ya Mashariki mwa Afrika IGAD kutokana na machafuko na mapigano yanayoshudiwa katika nchi hiyo changa zaidi duniani.
-
Sudan Kusini yailaumu Marekani kwa kuendelea kuiwekea vikwazo
Sep 24, 2016 04:49Serikali ya Sudan Kusini imeilaumu Marekani kwa siasa zake zisizo sahihi kuhusiana na nchi hiyo na kusema, Juba inahitajia misaada mbalimbali ikiwemo ya silaha na si vikwazo.
-
Assad akosoa waungaji mkono wa makundi ya kigaidi
Aug 05, 2016 04:20Rais wa Syria amesema kuwa uungaji mkono wa baadhi ya nchi kwa suala la ugaidi ndiyo sababu ya machafuko na kuwepo ugaidi katika eneo la Mashariki ya Kati na ulimwenguni kwa ujumla.
-
Kiir: Nafasi ya Machar ilijazwa na SPLM yenyewe, sio mimi
Jul 28, 2016 15:31Serikali ya Sudan Kusini imepuuzlilia mbali onyo la Umoja wa Mataifa kuhusu uteuzi wa viongozi wa kisiasa nchini humo na haswa uteuzi wa Makamu wa Rais mpya aliyechukua nafasi ya Riek Machar.
-
25 wauawa katika machafuko ya kabla ya uchaguzi Afrika Kusini
Jul 28, 2016 15:30Watu wasiopungua 25 wameuawa katika machafuko ya kabla ya uchaguzi wa mabaraza ya miji nchini Afrika Kusini.
-
Machar apuuza makataa ya masaa 48 ya Kiir kumtaka arejee Juba
Jul 23, 2016 04:09Makamu wa Rais wa Sudan Kusini Riek Machar amekataa kuheshimu makataa ya masaa 48 aliyopewa na Rais Salva Kiir wa nchi hiyo awe amerejea katika mji mkuu wa nchi hiyo Juba.
-
Maoni: Ukosefu wa usalama umeongezeka Marekani
Jun 27, 2016 15:59Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni yameonesha kuwa, Wamarekani wengi wanaamini kuwa, nchi hiyo inakabiliwa na ukosefu wa amani mkubwa zaidi kuliko ilivyokuwa huko nyuma.