-
Ramadhani, Mwezi wa Dhifa ya Mwenyezi Mungu (6)
Mar 16, 2025 08:06Mwezi mtukufu wa Ramadhani ni kama ilivyo mvua ya msimu wa machipuo, inayonyesha kwenye jangwa kavu lenye kiu ya maji. Jongeeni tukidhi kiu ya nyoyo zetu kwa maji ya mvua hii ya uzima.
-
Ramadhani, Mwezi wa Dhifa ya Mwenyezi Mungu (5)
Mar 13, 2025 07:24Assalaam Alaykum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran na karibuni kusikiliza sehemu ya tano ya kipindi hiki maalumu tulichokutayarishieni kwa mnasaba wa mwezi huu mtukufu wa Ramadhni.
-
Ramadhani, Mwezi wa Dhifa ya Mwenyezi Mungu (3)
Mar 12, 2025 09:13Hamjambo wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran na karibuni kusikiliza kipindi kingine maalumu ambacho tumekutayarishieni kwa mnasaba wa mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
-
Kuendelezwa sera za Mohammad Bin Salman za kupiga vita dini nchini Saudi Arabia
Mar 26, 2022 11:49Serikali ya Saudi Arabia imepitisha uamuzi wa kupiga marufuku kurushwa hewani adhana kwenye vyombo ya habari vya nchi hiyo katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Mkuu wa Jeshi la Polisi ya Tanzania: Polisi itakagua yanayofundishwa nyumba za ibada
Sep 11, 2021 13:30Jeshi la Polisi Tanzania limesema kuwa litakuwa likipita katika nyumba za ibada kukagua mafunzo wanayofundishwa watoto katika madrasa na shule za Jumapili (Sunday Schools) kufahamu aina ya mafundisho yanayotolewa.
-
Mapinduzi ya Kiislamu Katika Nadharia za Sayansi ya Jamii (2): Mapinduzi ya Kiislamu yalivyojipambanua na mapinduzi mengine makubwa duniani
Jul 06, 2020 05:54Tukiendelea na pale yalipoishia mazungumzo yetu katika kipindi kilichopita, katika kueleza sifa zinazoyapambanua na kuyatafautisha Mapinduzi ya Kiislamu na mapinduzi mengine makubwa katika namna ya kutokea kwake, sifa nyingine ya kipekee ya mapinduzi hayo inahusu uongozi wa mapinduzi yenyewe.
-
Mapinduzi ya Kiislamu Katika Nadharia za Sayansi ya Jamii (1): Mapinduzi ya Kiislamu yalivyojipambanua na mapinduzi mengine makubwa duniani
Jul 06, 2020 05:19Karne ya 20 tunaweza kuipa jina la Karne ya Mapinduzi. Mapinduzi ya mwanzo makubwa yaliyotokea katika karne hiyo yalikuwa ya Urusi ya mwaka 1917, yakafuatiwa na mengine kama mapinduzi ya China, Cuba, Iran na Nicaragua. Lakini hakuna shaka kuwa, mapinduzi muhimu zaidi na ya kipekee zaidi katika karne ya 20 yalikuwa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yaliyotokea mwaka 1979.
-
Marekani: Saudia inaongoza kwa kukiuka uhuru wa kuabudu
Apr 30, 2019 12:22Kamisheni ya Kimataifa ya Kutathmini Uhuru wa Kuabudu ya Marekani (USCIRF) imeitaja Saudi Arabia kama moja ya nchi zinazoongoza duniani kwa kukiuka uhuru wa kuabudu.
-
Rais Rouhani apongeza umoja wa kidini nchini Iran
Jun 03, 2018 08:07Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza umoja miongoni mwa dini na madhehebu mbalimbali hapa nchini akisisitiza kuwa serikali yake imeazimia kulinda haki za jamii zote.
-
Dakta Zarif: Ugaidi si nembo ya dini wala kaumu yoyote ile
Aug 19, 2017 06:59Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali utendaji wa kindumakuwili wa baadhi ya mataifa kuhusiana na ugaidi.