-
Makumi wafariki dunia kutokana na mafuriko, maporomoko ya ardhi Indonesia
Apr 04, 2021 08:20Makumi ya watu wamepoteza maisha na wengine wengi hawajulikani walipo baada ya kutokea mafuriko na maporomoko ya ardhi nchini Indonesia.
-
UN: Mafuriko yameua watu 35 nchini Somalia, milioni 1.6 wameathiriwa
Oct 29, 2020 03:36Umoja wa Mataifa umetangaza habari ya kupoteza maisha watu 35 nchini Somalia kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha nchini humo.
-
Majanga ya kimaumbile yaongezeka maradufu duniani kote
Oct 13, 2020 08:39Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa imebaini kuwa majanga ya kimaumbile yameongezeka maradufu katika kipindi cha miaka 20 iliyopita huku mabadiliko ya tabianchi yakitajwa kuwa sababu kuu ya hali hiyo.
-
Watu milioni moja waathiriwa na mafuriko nchini Ethiopia
Oct 01, 2020 04:20Umoja wa Mataifa umeripoti kuwa watu milioni moja wameathiriwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazonyesha nchini Ethiopia, ambapo laki tatu miongoni mwao wamelazimika kuyahama makazi yao.
-
Hasara za mafuriko zaongezeka nchini Sudan
Sep 19, 2020 03:02Idara ya Ulinzi wa Raia nchini Sudan imetangaza habari ya kuongezeka hasara za roho za watu na mali kutokana na mafuriko yaliyoikumba nchi hiyo. Kwa mujibu wa idara hiyo, zaidi ya watu laki saba na 70 elfu wamepata hasara kutokana na mafutiko hayo.
-
Mafuriko yaua watu zaidi ya 70 nchini Nigeria
Sep 18, 2020 03:36Kwa akali watu 77 wameaga dunia kufuatia mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazonyesha nchini Nigeria.
-
Mvua na mafuriko yaua na kujeruhi makumi nchini Burkina Faso
Sep 10, 2020 11:21Serikali ya Burkina Faso imetangaza kuwa nchi hiyo inakabiliwa na janga la kimaumbile baada ya watu 13 kupoteza maisha kutokana na mafuriko, huku wengine 19 wakijeruhiwa.
-
Sudan yaomba msaada wa kimataifa kwa waathiriwa wa mafuriko
Sep 08, 2020 11:52Waziri wa Afya wa Sudan ametahadharisha kuhusu uwezekano wa kujitokea maradhi ya kuambukiza katika siku kadhaa zijazo kutokana na maafa yaliyosababisha na mafuriko makubwa yanayoendelea nchini humo.
-
Mvua na mafuriko yaua watu 45 nchini Niger
Aug 29, 2020 19:25Kwa akali watu 45 wameaga dunia kufuatia mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazonyesha nchini Niger.
-
Mafuriko yaua makumi ya watu na wengine wapoteza makazi Abuja, Nigeria
Aug 02, 2020 06:29Mafuriko makubwa yaliyotokea katika kitongoji kimoja cha mji mkuu wa Nigeria, Abuja na mji mwingine wa nchi hiyo, yamesababisha vifo vya watu wasiopungua 30.