-
Wakimbizi laki moja wakwama kambini kwa mafuriko Nigeria
Nov 14, 2019 02:42Wakimbizi wa Ndani (IDPs) zaidi ya laki moja wameshindwa kutoka makambini kutokana na mafuriko makubwa yaliyolikumba jimbo la Borno la kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Mvua na mafuriko yaendelea kuua na kusababisha hasara nchini Tanzania
Oct 26, 2019 12:08Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya Tanzania zimeendelea kusababisha maafa na hasara kubwa nchini humo.
-
Mvua na mafuriko yaua karibu watu 150 nchini India
Oct 01, 2019 08:08Watu 148 wamepoteza maisha baada ya kusombwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazonyesha kwa siku tano sasa nchini India.
-
UN: Mvua na mafuriko yameua watu 78 nchini Sudan
Sep 08, 2019 12:15Ofisi ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa (OCHA) imesema kuwa mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha nchini Sudan yameua makumi ya watu.
-
Mvua na mafuriko yaua watu 9 Puntland, Somalia
Jun 03, 2019 10:32Kwa akali watu tisa wamefariki dunia kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika eneo lenye mamlaka ya ndani la Puntland nchini Somalia.
-
Rouhani: Mafuriko ya Iran yamefichua 'hulka chafu' ya watawala wa Marekani
Apr 17, 2019 13:49Rais Hassan Rouhani ameashiria hatua ya Marekani ya kuzuia kutumwa misaada ya nchi nyingine kwa ajili ya wahanga wa mafuriko hapa nchini Iran, akisisitiza kuwa kitendo hicho kwa mara nyingine tena kimedhihirisha hulka chafu ya watawala wa Washington.
-
Iran: Kwa mara nyingine Marekani imedhihirisha udhalili wake
Apr 16, 2019 06:58Msemaji wa Kamati ya Uongozi ya Baraza la Wanazuoni Wataalamu Wanaomchagua Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, hatua ya Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya ya kuzuia kutumwa misaada ya nchi nyingine kwa ajili ya wahanga wa mafuriko nchini Iran, imedhihirisha udhalili wake wa kukabiliana na ubinaadamu na haki za msingi za kibinaadamu.
-
UN yaanzisha utaratibu wa kibenki wa ufikishaji misaada ya fedha taslimu kwa waathirika wa mafuriko Iran
Apr 08, 2019 16:25Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa nchini Iran amesema: Umoja wa Mataifa umeanzisha utaratibu maalumu wa kibenki kwa ajili ya kufikisha misaada ya fedha taslimu kwa waathirika wa mafuriko nchini Iran.
-
Iran: Watu wenye ushawishi wakabiliane na hatua zisizo za kibinadamu za Marekani
Apr 07, 2019 07:51Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezitaka nchi na watu wenye ushawishi duniani kupambana na mienendo na hatua zisizo za kibinadamu za Marekani.
-
Kiongozi wa Mapinduzi: Kazi ya msingi sasa ni kuwafidia waathirika wa mafuriko na ukarabati
Apr 03, 2019 15:35Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amewasisitizia wakuu wa nchi kuwa kazi muhimu sasa ni ukarabati na ujenzi mpya wa maeneo yaliyoharibiwa katika mafuriko yalioyokumba maeneo mengi ya Iran na pia kuwalipa fidia waathirika.