-
Mauzo ya mafuta ya Iran barani Asia yaongezeka kwa 92%
Oct 30, 2016 07:57Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema uuzaji wa mafuta yake katika nchi za bara Asia umeongezeka na kufikia asilimia 92, kiwango kinachokaribia cha kabla ya vikwazo.
-
Jeshi la Iraq lakomboa visima 100 vya mafuta kusini mwa Mosul
Oct 19, 2016 04:31Vikosi vya Iraq vimefanikiwa kukomboa visima 100 vya mafuta kusini mwa mji wa Mosul, katika operesheni maalumu ya kuukomboa mji huo kutoka mikononi mwa mgaidi wa Daesh.
-
Uzalishaji mafuta nchini Iran warejea katika kiwango cha kabla ya vikwazo
Oct 18, 2016 03:09Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, baada ya kuanza utekelezaji wa makubaliano ya nyuklia baina ya Iran na kundi la 5+1 ambayo ni maarufu kwa jina la makubaliano ya JCPOA, uzalishaji wa mafuta wa Iran umekaribia kiwango cha kabla ya vikwazo, yaani mapipa milioni nne na laki mbili kwa siku.
-
Wanamgambo washambulia bomba la mafuta, Niger Delta Nigeria
May 29, 2016 03:53Wanamgambo wameshamulia bomba muhimu la mafuta katika eneo la Niger Delta nchini Nigeria huku kundi la wanamgambo linalojiita Walipiza Kisasi wa Niger Delta likitangaza kuhusika na hujuma hiyo.
-
Uzalishaji mafuta Nigeria washuka kutokana machafuko Niger Delta
May 10, 2016 15:02Uzalishaji mafuta ghafi ya petroli Nigeria unatarajiwa kufika kiwango cha chini zaidi katika kipindi cha miaka 22 iliyopita kutokana na hujuma za waasi katika eneo lenye utajiri wa mafuta la Niger Delta.
-
Maonyesho ya Kimataifa ya Gesi, Mafuta yaanza Tehran
May 05, 2016 08:05Maonyesho ya 21 ya Kimataifa ya Gesi, Mafuta na Petrokemikali yameanza leo mjini Tehran ambapo kuna mashirika 1900 ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi 38 za dunia.
-
Libya kuongeza kiwango cha uzalishaji mafuta
Apr 30, 2016 04:11Viongozi wa Libya wamekubaliana na mpango wa awamu tatu wa shirika la taifa la mafuta la nchi hiyo wa kuongeza uzalishaji wa bidhaa hiyo muhimu na kuufikisha katika kiwango cha kabla ya mwaka 2011.
-
Waasi wa Nigeria watishia kuhujumu vituo vya mafuta
Apr 20, 2016 14:42Waasi wa eneo lenye utajiri wa mafuta la Niger Delta kusini mwa Nigeria wametishia kwamba watazidisha mashambulizi yao dhidi mabomba na vituo vya uzalishaji mafuta ghafi ya petroli nchini humo.
-
Angola; nchi ya kwanza kwa kuzalisha mafuta barani Afrika
Apr 18, 2016 04:14Angola hivi sasa imekuwa nchi ya kwanza inayozalisha mafuta kwa wingi barani Afrika.
-
Ujenzi wa bomba la mafuta la Uganda, Tanzania yaipiku Kenya
Apr 16, 2016 16:06Uganda imeamua kujenga bomba la mafuta kupitia Tanzania badala ya Kenya.