Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Makamu wa Rais wa Iran: Vituko vya Trump vimefika ukingoni

    Makamu wa Rais wa Iran: Vituko vya Trump vimefika ukingoni

    Nov 08, 2020 04:41

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran amesema zama za Rais Donald Trump wa Marekani na vituko vyake pamoja na timu yake inayopenda vita zimefika ukingoni.

  • Uchaguzi wa rais wa 2020; nembo ya demokrasia bandia ya Marekani

    Uchaguzi wa rais wa 2020; nembo ya demokrasia bandia ya Marekani

    Nov 07, 2020 06:44

    Kama ilivyokuwa imetabiriwa awali, uchaguzi wa mwaka huu wa rais wa Marekani ambao ulifanyika tarehe 3 mwezi huu wa Novemba umekuwa moja ya chaguzi zenye utata mkubwa zaidi katika historia ya nchi hiyo, uchaguzi ambao taathriza zake bila shaka zitabakia kwa muda mrefu katika uwanja wa siasa za nchi hiyo.

  • Wafuasi wa Trump wenye bunduki wazingira vituo vya kuhesabu kura

    Wafuasi wa Trump wenye bunduki wazingira vituo vya kuhesabu kura

    Nov 07, 2020 04:09

    Idadi kubwa ya wafuasi wa Rais Donald Trump wa Marekani wameonekana katika vituo kadhaa vya kuhesabu kura nchini humo wakiwa wamebeba bunduki za rashasha.

  • Sisitizo la Putin la kumuunga mkono Lukashenko mkabala na vikwazo vipya vya nchi za Magharibi

    Sisitizo la Putin la kumuunga mkono Lukashenko mkabala na vikwazo vipya vya nchi za Magharibi

    Nov 06, 2020 03:17

    Maandamano makubwa yaliyofanyika hivi karibuni nchini Belarus kufuatia uchaguzi uliomrejesha tena madarakani Rais Alexander Lukashenko, kilikuwa kisingizio kizuri kwa nchi za Magharibi kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo na kuanza kutekeleza vikwazo na siasa za uhasama dhidi ya serikali yake.

  • "Serikali ijayo ya Marekani haina budi kusalimu amri mbele ya Iran"

    Nov 05, 2020 08:53

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema serikali ijayo ya Marekani haitakuwa na chaguo jingine ghairi ya kusalimu amri mkabala wa Jamhuri ya Kiislamu.

  • Hitilafu zaongezeka kuhusu kura za uchaguzi wa Rais nchini Marekani

    Hitilafu zaongezeka kuhusu kura za uchaguzi wa Rais nchini Marekani

    Nov 05, 2020 04:28

    Spika wa bunge la wawakilishi la Marekani amewaandikia barua wabunge wa chama cha Democratic akisistiza kuwa mgombea wa kiti cha urais wa chama hicho ana kura za kutosha za baraza maalumu la wajumbe wanaomchagua rais ( Electoral College) za kumfanya aibuke na ushindi na kuingia White House.

  • Kujiondoa rasmi Marekani katika Mapatano ya Tabianchi ya Paris

    Kujiondoa rasmi Marekani katika Mapatano ya Tabianchi ya Paris

    Nov 05, 2020 04:22

    Marekani ambayo imejiondoa katika mikataba kadhaa ya kimataifa wakati wa utawala wa Donald Trump, sasa imejiondoa rasmi katika Makubaliano ya Mabadiliko ya Tabianchi yaliyofikiwa mjini Paris, Ufaransa mwaka 2015. Mapatano hayo ni muhimu katika kulinda mazingira ili kuzuia ongezeko la joto duniani.

  • Makumi ya watu watiwa mbaroni katika machafuko ya uchaguzi nchini Marekani

    Makumi ya watu watiwa mbaroni katika machafuko ya uchaguzi nchini Marekani

    Nov 04, 2020 11:46

    Polisi nchini Marekani wametangaza kuwatia mbaroni makumi ya watu katika jimbo la California katika machafuko ya uchaguzi.

  • Marekani yajiondoa rasmi katika Mkataba wa Mabadiliko ya Tabianchi wa Paris

    Marekani yajiondoa rasmi katika Mkataba wa Mabadiliko ya Tabianchi wa Paris

    Nov 04, 2020 08:57

    Marekani hii leo imejiondoa rasmi katika Makubaliano ya Mabadiliko ya Tabianchi yaliyofikiwa mjini Paris, Ufaransa mwaka 2015.

  • Rouhani: Iran haijali ni nani ataibuka mshindi katika uchaguzi wa Marekani

    Rouhani: Iran haijali ni nani ataibuka mshindi katika uchaguzi wa Marekani

    Nov 04, 2020 08:06

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa hili halijalishwi wala kushughulishwa na ni nani atakayeibuka mshindi katika uchaguzi wa rais wa Marekani uliofanyika jana Jumanne.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS