-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Asia Magharibi haidhibitiwi tena na Marekani
Jul 01, 2022 13:18Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran amesema eneo la Asia Magharibi halidhibitiwi tena Marekani, na kwamba hivi sasa lipo katika mikono ya mataifa ya Waislamu.
-
Mashariki ya Kati, ibra na somo la mgogoro wa Ukraine
Feb 26, 2022 10:27Tarehe 25 mwezi huu wa Februari Russia ilipuuza propaganda na tahadhari za nchi za Magharibi na kuanzisha mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Ukraine.
-
Sheikh Naeem Qasim: Juhudi za Marekani za kuanzisha Mashariki ya Kati Mpya zimefeli
Nov 04, 2021 07:52Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah nchini Lebanon amesema kuwa uvamizi wa Marekani nchini Syria na juhudi za nchi hiyo za kutaka kuanzisha Mashariki ya Kati Mpya zimefeli na kugonga mwamba.
-
"Kushirikiana na majirani, kipaumbele cha serikali mpya ya Iran"
Sep 01, 2021 07:41Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itashirikiana na majirani zake ili kufikia upeo wa juu wa ushirikiano wa kieneo.
-
Taathira za fikra za Imam Khomeini MA katika eneo la Asia Magharibi
Jun 04, 2021 09:35Ijumaa ya leo ya tarehe 4 Juni imesadifiana na mwaka wa 32 wa kufariki dunia mwasisi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran. Moja ya maudhui muhimu zinazozungumziwa leo hii ni taathira za fikra na sira ya Imam Khomeini MA katika eneo zima la Asia Magharibi.
-
Rouhani: Usalama na amani ya Asia Magharibi vitaimarishwa kupitia ushirikiano wa nchi za eneo
Feb 16, 2021 03:35Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema amani na usalama katika eneo la Asia Magharibi vinaweza kuimarishwa tu kupitia ushirikiano wa mataifa ya eneo hili na wala si kwa uingiliaji wa madola ajinabi.
-
Iran: Saudia imegeuka wakala wa kutekeleza mipango ghalati ya Israel
Jan 15, 2021 14:49Msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema watawala wa Saudi Arabia wamegeuka na kuwa wakala wa kutekeleza sera na mipango ghalati ya utawala haramu wa Israel katika eneo la Asia Magharibi.
-
Rouhani: Taifa la Iran litaikata miguu Marekani katika eneo
Dec 30, 2020 14:36Rais Hassan Rouhani amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaikata miguu Marekani katika eneo la Asia Magharibi katika kisasi chake cha mauaji ya kigaidi ya Luteni Jenerali Qassem Suleimani, Kamanda wa zamani wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH).
-
Russia: Amani haitapatikana Asia Magharibi bila kutatuliwa kadhia ya Palestina
Sep 18, 2020 08:06Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imesema ni kosa kudhani kuwa amani ya kudumu itapatikana katika eneo la Asia Magharibi pasi na kutatuliwa mgogoro wa Palestina.
-
Iran: 'Mashariki ya Kati' mpya itaanzishwa kwa kutimuliwa Marekani katika eneo
Aug 28, 2020 12:35Msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Iran katika masuala ya kimataifa amesema: 'Mashariki ya Kati' mpya itaundwa baada ya kuhakikisha Marekani imeshatimuliwa kikamilifu katika eneo hili la Asia Magharibi.