-
Jumatano, 10 Aprili, 2019
Apr 10, 2019 03:05Leo ni Jumatano tarehe Nne Sha'aban 1440 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe 10 Aprili 2019 Miladia.
-
Watu 60 wauawa katika mapigano ya kikabila nchini Burkina Faso
Apr 04, 2019 03:25Watu wasiopungua 60 wameuawa katika mapigano ya kikabila kaskazini mwa Burkina Faso.
-
Facebook, You Tube zashtakiwa kwa kurusha mubashara mauaji ya Waislamu New Zealand
Mar 26, 2019 03:07Baraza la Waislamu nchini Ufaransa (CFCM) limeifungulia mashitaka mitandao ya kijamii ya Facebook na You Tube kwa kurusha hewani mubashara mauaji ya kutisha ya Waislamu nchini New Zealand.
-
Watu zaidi ya 130 wauawa Mali, UN yashtushwa na mauaji hayo
Mar 24, 2019 03:31Watu zaidi ya 130 wameua baada ya wavamizi waliobeba silaha kushambulia kijiji cha watu wa kabila la Fulani katika eneo la Ogossagou katikati mwa Mali.
-
Wachimba migodi 5 wauawa katika eneo la Oromia, Ethiopia
Mar 19, 2019 23:03Watu waliobeba silaha wameshambulia timbo (mgodi) na kuua wachimba migodi watano katika eneo la Oromia magharibi mwa Ethiopia.
-
Imarati yashutumiwa kufanya njama za kurejesha utawala wa kidikteta Tunisia
Mar 01, 2019 23:17Waziri Mkuu wa zamani wa Tunisia amefichua kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) unafanya njama za kufelisha juhudi za kuimarisha demokrasia nchini humo kupitia hilo za kuyafelisha mapinduzi ya wananchi wa nchi hiyo na kuurejesha madarakani utawala wa kidikteta.
-
Ripoti: Israel imeficha nyaraka laki 3 kuhusu mauaji ya kinyama dhidi ya Wapalestina
Feb 26, 2019 04:29Mwandishi wa habari wa Kiyahudi anayeishi jimboni California nchini Marekani amefichua kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel umeficha nyaraka laki tatu zinazohusu jinai za kutisha za utawala huo haramu yakiwemo mauaji ya Wapalestina.
-
Watu 9 wauawa katika wimbi jipya la mapigano Sudan Kusini
Feb 06, 2019 04:00Kwa akali watu tisa wameripotiwa kuuawa katika wimbi jipya la mapigano katika jimbo la Amadi, magharibi mwa nchi hiyo changa zaidi barani Afrika.
-
Uturuki kupeleka kadhia ya mauaji ya Khashoggi katika Umoja wa Mataifa
Jan 25, 2019 01:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amesema kuwa umewadia wakati wa kufanyika uchunguzi wa kimataiifa kuhusu mauaji ya mwandishi habari na mkosoaji wa utawala wa kifalme wa Saudi Arabia, Jamal Khashoggi.
-
Wasudan waendeleza maandamano ya mkate, polisi yaua watu watatu
Jan 18, 2019 12:35Maandamano ya kumtaka Rais Omar Hassan al Bashir wa Sudan ang'atuke madarakani yameendelea mapema leo Ijumaa katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo baada ya mauaji ya watu watatu waliopigwa risasi na polisi katika maandamano ya jana mjini Khartoum.