-
Ulimwengu wa Spoti, Mei 14
May 14, 2018 06:13Huu ni mkusanyiko wa matukio muhimu ya spoti yaliyojiri duniani ndani ya siku saba zilizopita..
-
Wanariadha 13 wa Afrika 'watoweka' Australia
Apr 12, 2018 14:53Wanariadha 13 wa Afrika walioenda kushiriki Michezo ya Jumuiya ya Madola nchini Australia wametoweka katika mazingira ya kutatanisha.
-
Vita dhidi ya Uislamu katika michezo ya Olimpiki, Korea Kusini!
Feb 10, 2018 16:35Vita na hujuma dhidi ya Uislamu inaonekana sasa kushamiri zaidi na kuingia katika michezo ya kimataifa.
-
Ulimwengu wa Spoti, Okt 23
Oct 23, 2017 08:09Hujambo mpenzi msikilizaji wa RT na karibu tutupie jicho matukio kadhaa muhimu yaliyotawala uga wa spoti kitaifa na kimataifa, ndani ya siku saba zilizopita. Usibanduke kando ya radio yako hadi tamati ya kipindi...
-
Ulimwengu wa Michezo
Oct 16, 2017 08:08Hujambo mpenzi mwanaspoti na karibu katika dakika hizi chache za kukupasha matukio mawili matatu yaliyotikisa uga wa michezo duniani, ndani ya siku saba zilizopita. Usibanduke kando ya radio yako hadi tamati ya kipindi, karibu……...
-
Ulimwengu wa Michezo, Septemba 11
Sep 11, 2017 05:43Ahlan wasahlan wamarhaba mpenzi mwanaspoti wa RT na karibu katika dakika hizi chache tutupie jicho matukio kadhaa ya michezo yaliyotawala vichwa vya habari ndani ya siku saba zilizopita kitaifa na kimataifa. Karibu…
-
Ulimwengu wa Spoti, Apr 17
Apr 17, 2017 07:01Karibu tukupashe kwa kina bingwa wa Ligi Kuu ya Soka Iran, matokeo ya Kombe la CAF na msimamo wa Ligi Kuu ya Soka Uingereza........
-
Wanasayansi Wairani waunda chombo erevu cha kupima kasi ya wanariadha
Mar 01, 2017 08:37Disemba mwaka jana, Wanasayansi Wairani walifanikiwa kuunda chombo cha chronometer ambacho hupima kasi ya wanariadha. Chombo kilichoundwa na Wairani ni erevu na kinaondoa uwezekano wa kosa la mwanadamu katika kuainisha kasi ya mwanariadha.
-
Mnyanyua vyuma Muirani avunja rekodi mara tatu, apata dhahabu Paralympiki Rio
Sep 15, 2016 03:32Muirani mnyanyua vyuma katika uzani wa juu zaidi amevunja rekodi tatu za dunia na kupata medali ya dhahabu katika Michezo ya Olyimpiki ya walemavu- Paralympiki-huko Rio de Janeiro, Brazil.
-
Spoti, Agosti 14
Aug 15, 2016 08:01Hujambo mpenzi msikilizaji na haswa shabiki wa masuala ya spoti na karibu nikupashe kuhusu viwanja na wachezaji ndani ya siku saba zilizopita na haswa habari kutoka Brazil kunakoendelea Olimpiki ya Rio….….karibu……..