-
Morocco kuimarisha ulinzi mipakani kukabiliana na magendo ya binadamu na ugaidi
Feb 18, 2018 12:26Vyombo vya habari vya nchini Morocco vimetangaza kuwa, Rabat ina nia ya kuanzisha vituo 10 vipya vya kusimamia na kudhibiti maeneo ya mpakani mwa nchi hiyo na Algeria.
-
Ulimwengu wa Michezo: Morocco yatwaa taji la CHAN, Iran yazinyuka China na Myanmar Futsal
Feb 05, 2018 03:42Hujambo mpenzi mwanaspoti wa RT na karibu tutupie jicho matukio mawili matatu ya michezo yaliyogonga vichwa habari ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa....
-
Makumi ya miili ya wahajiri yapatikana katika pwani ya Morocco
Feb 04, 2018 13:05Serikali ya Uhispania imetangaza habari ya kupatikana kwa makumi ya maiti za wahajiri katika maji ya pwani ya Morocco.
-
Mpango wa kuwarejesha nyumbani wahajiri wa Morocco kutoka Libya kutekelezwa
Dec 17, 2017 10:52Wahajiri 236 raia wa Morocco wiki ijayo wataanza kurejea nchini kwao.
-
Afrika Kusini na Morocco kuhuisha uhusiano wao wa kidiplomasia
Dec 03, 2017 11:03Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amesema nchi hiyo itafufua uhusiano wa kidiplomasia na Morocco, baada ya kupita zaidi ya muongo mmoja tangu nchi hiyo ya Kiarabu imuondoe balozi wake mjini Pretoria.
-
Mamia waandamana Morocco kutaka kuachiwa huru wanaharakati
Oct 09, 2017 04:43Mamia ya wananchi wa Morocco wamefanya maandamano katika mji mkuu wa kibiashara wa nchi hiyo Casablanca, kushinikiza kuachiwa huru wanaharati wa nchi hiyo waliokamatwa katika maandamano mengine mwaka mmoja uliopita katika mji mmoja ulioko kaskazini mwa nchi, ambao wakazi wake wanadai kutengwa na kubaguliwa.
-
Mfalme wa Morocco asisitiza kushiriki vyema nchi hiyo katika AU
Aug 21, 2017 11:18Mfalme Mohamed wa Sita wa Morocco amesema kuwa, kujiunga tena nchi hiyo katika Umoja wa Afrika (AU) ni hatua muhimu na yenye taathira.
-
Jumapili, 13 Agosti,, 2017
Aug 12, 2017 21:49Leo ni Jumapili tarehe 20 Dhul-Qaadah mwaka 1438 Hijria, sawa na tarehe 13 Agosti, 2017.
-
Mwanahistoria wa Israel afichua namna MOSSAD ilivyowaua Mayahudi wa Morocco
Aug 01, 2017 22:14Mwanahistori mmoja wa Israel ametangaza kuwa, shirika la ujasusi la Utawala wa Kizayuni wa Israel MOSSAD llilifanya jinai kubwa kuwalenga Mayahudi wa Morocco kwa lengo la kuwashawishi Mayahudi hao waelekee huko katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Mfalme wa Saudia afuja mamilioni ya dola za mafuta kwa starehe mapumzikoni Morocco
Jul 30, 2017 10:44Safari ya Mfalme Salman bin Abdulaziz wa Saudi Arabia anayeandamana na msafara wa watu elfu moja nchini Morocco kwa ajili ya mapumziko imezusha gumzo kubwa katika vyombo vya habari vya nchi hiyo hususan katika kuchunguza kiwango cha fedha zinazofujwa na ukoo wa kifalme wa Aal Saud katika safari hiyo.