-
Wananchi wa Msumbiji wapiga kura kumchagua rais na wabunge
Oct 09, 2024 10:59Raia wa Msumbiji wasiopungua milioni 17 waliojiandikisha kupiga kura mapema leo walielekea katika vituo vya kura kwa lengo la kumchagua rais mpya, wawakilishi wa bunge na magavana wa majimbo ya nchi hiyo katika uchaguzi unaotazamiwa kwa kiasi kikubwa kukibakisha madarakani chama tawala cha FRELIMO ambacho kimekuwa madarakani kwa miaka 49 sasa.
-
Msumbiji yawaachia huru mabaharia kumi wa Kiirani
Aug 29, 2024 02:51Mabaharia 10 wa Iran waliokuwa wanashikiliwa nchini Msumbiji wameachiliwa huru.
-
Jumanne, tarehe 25 Juni, 2024
Jun 25, 2024 02:27Leo ni Jumanne tarehe 18 Mfunguo Tatu Dhulhija 1445 Hijria inayosadifiana na tarehe 25 Juni 2024.
-
Karibu laki 1 wakimbia makwao kutoka na hujuma za wanamgambo Msumbiji
Mar 06, 2024 11:42Makumi ya maelfu ya raia wamelazimika kuyakimbia makazi yao nchini Msumbiji baada ya kuibuka tena machafuko kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Jumapili, 25 Juni, 2023
Jun 25, 2023 02:38Leo ni Jumapili tarehe 6 Mfunguo Tatu Dhul-Hija 144 Hijria sawa na tarehe 25 Juni 2023 Miladia.
-
Kimbunga cha Freddy chaua watu wasiopungua 100 huko Malawi
Mar 14, 2023 07:53Msumbiji na Malawi zinatathmini maafa ya Kimbunga kwa jina la Freddy, ambacho kimelikumba eneo la Kusini mwa Afrika kwa mara ya pili katika kipindi cha mwezi mmoja sasa na kusababisha uharibifu mkubwa na kuua watu wasiopungua 100 huko Malawi.
-
Mwana wa rais wa zamani wa Msumbiji na maafisa 2 wa zamani wa intelijinsia wahukumiwa kifungo jela
Dec 07, 2022 15:17Mahakama nchini Msumbiji leo imewakuhuku kifungo jela mwana wa kiume wa rais wa zamani wa nchi hiyo na wakuu wawili wa zamani wa intelijinsia kifungo cha miaka 12 kila mmoja kwa kuhusika na kashfa ya ufisadi ambapo serikali ilitaka kuficha madeni makubwa na kusababisha upoteaji wa fedha.
-
Askari wa Tanzania, Botswana wauawa Cabo Delgado, Msumbiji
Dec 02, 2022 02:44Wanajeshi wawili wa kikosi cha Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC wameuawa katika makabiliano baina yao na wanamgambo katika jimbo la Cabo Delgado kaskazini mwa Msumbiji.
-
Afrika Kusini yaongeza muda wa kuhudumu wanajeshi wake huko Msumbiji
Apr 14, 2022 07:13Mkuu wa jeshi la Afrika Kusini ametahadharisha kuwa magaidi waliopo Msumbiji lazima washughulikiwe kabla ya tatizo hilo kuenea mbali zaidi.
-
Raisi atoa mwito wa kustawishwa uhusiano wa Iran na Msumbiji
Feb 23, 2022 02:51Rais Ebrahim Raisi wa Iran ametoa mwito wa kuboreshwa uhusiano wa pande mbili baina ya Jamhuri ya Kiislamu na Msumbiji katika nyuga tofauti.